Saturday, August 16, 2014

BODI YA WAKURUGENZI YASIMIKA VIONGOZI WAPYA WA JUMUIYA DMV


 Juu na chini ni Bodi ya wakurugenzi ikiongozwa na Dr. Mwamoyo Hamza akiwemo Harun Ulotu ambao ni bodi ya wakurugenzi ya Jumiya DMV ikiwakabidhi madaraka uongozi mpya Rais bwn. Iddi Sandaly, Makamu wa Rais Harriet Shangarai, Katibu Said Mwamende na makamu katibu Bi.Bernadeta Kaiza. Makabidhiano yalifanyika kwenye ukumbi wa park uliopo Silver Spring, Maryland nchini Marekani na kufuatiwa na BBQ ya nguvu iliyojumuisha wanaDMV.
 Katibu na makamu wa katibu wakifuatilia makabidhiano.
 Bodi ya wakurugenzi wakielekeza makabidhiano
Rais na Makamu wa Rais wakifuatilia makabidhiano.

2 comments:

  1. wezi wa kura hamna hata haya

    ReplyDelete
  2. washindiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. DMV tumepata team IMARA. WAACHE WANAOPIGA DOMO WAENDELEE SIYE TUNASONGA MBELEEE

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake