Salome akiwa amepozi kwenye hoteli ya Palazzo mjini Las Vegas alipokwenda pamoja na shosti zake kusherehekea bachelorette party yake wikiendi iliyopita
Salome akiwa tayari kwenda kuperuzi mitaa ya Las Vegas alipokwenda kwa ajili ya kusherehekea bachelorette party yake pamoja na shosti zake
Soon to be Miss Mollel
Salome na Shosti zake katika mitaa ya Las Vegas
Salome na shosti zake katika mitaa ya Las Vegas