ANGALIA LIVE NEWS

Friday, August 15, 2014

Picha za bachelorette party ya Salome iliyofanyika wikiend ya Agost 9, mjini Las Vegas

  Salome akiwa amepozi kwenye hoteli ya Palazzo mjini Las Vegas alipokwenda pamoja na shosti zake kusherehekea bachelorette party yake wikiendi iliyopita
  
Salome akiwa tayari kwenda kuperuzi mitaa ya Las Vegas alipokwenda kwa ajili ya kusherehekea bachelorette party yake pamoja na shosti zake
 
 Soon to be Miss Mollel
 Salome na Shosti zake katika mitaa ya Las Vegas
 Salome na shosti zake katika mitaa ya Las Vegas