Flaviana Matata Jana akiwa na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya msingi Mnengulo-Lindi darasani kwao. Inasikitisha kuona watoto wanasoma katika mazingira haya na tunategemea matokeo mazuri.
"Something has to be done(yesterday with some students at Mnengulo primary school in Lindi undertaking their lessons under tree. It is pity to see the basic education is still provided under trees, we can't expect best results from these students as learning environment is an obstructed to their best performance. actions to rescue this must be taken". Ni maneno ya Flaviana Matata hayo.
Mwanamitindo Flaviana Matata bado anaendelea kupambana na dhumuni alilonuia kupambana nalo katika maisha yake. Baada ya kuanziaha Flaviana Matata Foundation (FMF) “Empowering Through Education” na Launch ya ‘Flaviana Matata Stationary’ kwa dhumuni la kusaidia ukuwaji wa Elimu na kutoa misaada ya vifaa vya Elimu ili kusababisha ukuaji wa Elimu nchini.
Flaviana Matata akiwa na Team yake ya Flavianna Matata Foundation hivi sasa wapo kanda ya kusini mwa Tanzania kuendeleza dhumuni la mwanamitindo huyo. Kwa udhamini wa FSPF, Flaviana Foundation inawawezesha wanafunzi 700 wa miji ya LINDI na NACHNGWEA kwenye shule tofauti kuweza kuwapatia majitaji ya vifaa vya shule kutoka kwa Flaviana Matata Stationary kuweza kujipatia Elimu vizuri bila matatizo.
Flaviana Matata na wanafunzi wa Shule ya msingi Chemchem.
3 comments:
Tukiwaambia wananchi wa kibongo kuwa inabidi tujitafakari kama tu binadamu wa kawaida wanasema ni matusi! Miaka 50 baada ya uhuru, miaka 50 chini ya utawala wa nambari wani! Watoto wanaonekana kama enzi za old stone age!
umenene mdau wa mwanzo na big up flora kwa kuwasaidia hawa watoto mungu akubariki sana amen
ndo mambo kama haya bado yako katika akili za wa bongo wa dmv kufagilia ccm kwa sana na wezi wa kura
Post a Comment