Nyimbo ya Nipeni deal ya marehemu Albert Mangwea imetumika katika Soundtrack ya filamu ya Going Bongo. Nyimbo hiyo iko katika kipande muhimu cha movie hiyo ambapo daktari Lewis Burger anatembelea "night club" ya Bongo. Nyimbo hiyo pia imetengenezewa "teaser" ya movie hiyo ambayo unaweza kuiangalia hapa chini.
Movie hii inapatikana iTunes hapa
DVD inapatikana hapa
No comments:
Post a Comment