Asante sana mwalimu. Yaelekea unaipenda sana Amerika na waumini wako. Je unatumia kasma kiasi gani ambacho ungeweza kukiwekeza pale nyumbani Tanzania kwenye mikoa mingi ambayo hujafika? Sidhani wanaoishi huku ughaibuni pamoja na majukumu mengi waliyo nayo yasiyoleta neema miaka na miaka, wanajifunza au kuyapata yote unayowafundisha, vinginevyo umelenga zaidi kwenye business activities zinazokuwezesha kuingia na kutoka!! Karibu SAANA. MWALIMU..
1 comment:

Post a Comment