Unaweza kuangalia mechi ya Tanzania Eleven na Real Madrid wachezaji wa zamani Live sasa hivi ikiwa ni dakika ya 13 y mchezo mabao yakiwa 0-0 Bofya hapa uone mechi hiyo Live
Real Madrid wanaongoa bao 1-0Tanzania Eleven yasawazisha bao 1-1
sasa ni mapumziko
Dakika ya 52 kipindi cha pili mabao ni 1-1
Real Madrid wanapata bao la pili kwa penati Real wanaongoza 2-1
Mpira umekwisha Real Madrid wameshindwa 3-1
No comments:
Post a Comment