Advertisements

Wednesday, August 27, 2014

GOLI MOJA LA EMIRATES LAIVUSHA ARSENAL NA KUSONGA MBELE KWENYE LIGI YA MABINGWA HATUA YA MAKUNDI

Sanchez na Wilshere wakishangilia bao zidi ya Besiktas mchezo wa ligi ya mabigwa mchezo ulikuwa wa ushindani kila upande ukitafuta bao la mapema. Lakini Arsenal ndiyo walikuwa na bahati ya kupata bao moja lililofungwa na Sanchez kipindi cha kwanza, bao hilo ni chachu kwa Sanchez kwani ni bao lake la kwanza toka atue Arsenal akitokea Barcelona. Besiktas na Arsenal katika mchezo wa kwanza zilitoshana nguvu ya bila kufungana mchezo huo ulichenzwa Istanbul.
Mshambuliaji nyota wa Arsenal, Olvier Giroud ameishuhudia timu yake ikisonga mbele katika Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya makundi akiwa kitandani.
Arsenal imefanikiwa kusonga mbele katika Ligi ya Mabingwa hatua ya makundi baada ya kuishinda Besiktas ya Uturuki kwa bao 1-0

No comments: