Monday, August 11, 2014

Hotuba fupi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Azania Bank kwa DIASPORA

Mkurugenzi Mtendaji wa Azania Bank Charles Singili alipokuwa akizungumzia huduma za benki yake kwa waTanzania jijini Washington DC
PICHA ZOTE KWA HISANI YA IKULU
Hotuba fupi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Azania Bank Charles Singili alipokutana na waTanzania waishio nchini Marekani usiku wa Agosti 2, 2014.
Hotuba hii ilitolewa kwenye mkutano kati ya waTanzania wa Marekani na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk Jakaya Kikwete
Karibu umsikilize


2 comments:

  1. Hi Azania Bank

    Any idea when you will come to Asia and Australia?

    Cheers

    ReplyDelete
  2. Nafikiri ni logistics, Australia ni mbali na ina wabongo wachache compared to USA. Ni mambo ya CBA hapo.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake