Yah KUPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI
Mwenyekiti Mimi nilikuwa nagombea nafasi ya makamo wa Rais napinga matokeo haya kwasababu zifuatazo : TUME ILISHIRIKI KIKAMILIFU KUMFANYIA KAMPENI MGOMBEA MWENZANGU 1July18 tuliitwa ubalozini wagombea wote na Tume na Board na Mh Balozi Mgombea mwenzangualitamka kujitoa kwenye uchaguzi na hatogombea Mwenyekiti wa Tume Mzee Safari alisema bila Haya kuwa usijitoe wewe ni mwenzetu tulikuwa wote kwenye Tume tulukubali utoke ili uwe Makamo hii ni kampeni dhahiri
2Siku ya kwanza ya kufuturu mmoja wa Tume alikua na mgombea mwenzangu akimuombea kura hadi walipotangaza hapa si pahala pa kampeni
3Mh Mama Salma Kikwete alipokutana na wanawake wa D M V hawa Tume ambao ndio walikuwa vinara kwenye shughuli hiyo walimweka mgombea mwenzangu kuongea kwaniaba ya wanawake wa D M V hii ni kampeni
4 Wakati wa Nyama choma Asha Nyang`anyi alijisahau kwamba yuko kwenye Tume alimkingia kifua mgombea mwenzangu na kuninyooshea kidole mimi akisema anza wewe ili asikilize nini nitasema amfundishe kujibu alikaa mbele yetu nikamkazia macho nikamwambia mbona unashabikia wakati uhusiki hapa
USHIRIKISHWAJI WA WAGOMBEA Toka tutangazwe kuwa wagombea June hatujapata hata siku moja kukutana na Tume kutokana na vitendo vyao Tulipinga mbele ya Mh Balozi kutaka Asha nyang`anyi atoke kwenye Tume alikuwa anaharibu uchaguzi yeye alikuwa kila kitu na kila sehemu alinga`ngania kama kazi ya kujitolea na wagombea hawakutaki kwanini unang`ang`ania aliweka msimamo wa watu anaowataka na kumpachika bernadeta wakati muda ulishapita
SIKU YA KUPIGA KURA 1Kura zilianzwa kupigwa bila wagombea kuhakiki karatasi za kupigia kura mawakala hawakuwepo hata mwenyekiti wa Tume hakuwepo hii ni amri ya Asha Nyang`nyi ili wazipige kura haramu
2Masanduku ya kupigia kura ni yale ya kuwekea spea za magari sio rasmini yalikuwa huoni ndani hii yote maalumu kwa ajili ya wizi wa kura
3 Baadhi ya wahusika sehemu muhimu ya majina alikuwa mwenyewe Asha majina mengi yalianindikwa na karatasi kuchanwa sehemu ya kutoa karatasi alikuwa mke wa mgombea sehemu ya kuhesabu kura alikuwako mtoto wa Asha Nyang`anyi niliona akimpa kura mama yake
4 maandalizi yaliku hafifu bila kushirikishwa ili kusudi wafanikishe mwisho TUME IMECHANGIA KIASI KIKUBWA KUVURUGA UCHAGUZI HAWAKUTAKA HATA KULETA WATU TOFAUTI KUTOKA SEHEMU NYINGINE KUSIMAMIA ILI WAVURUGE NA WAKAMILISHE AZIMA YAO AHASANTE KWA YOTE LAZIMA UKWELI UTAJULIKANA mimi SALIMA MOSHI
We dada,mimi sikujui,ila nikisoma tuu hii artcle yako,nitalipigia jiwe kura na si wewe. Jitahidi chukua darasa la kuandika or something!!
ReplyDeleteASIYEKUBALI KUSHINDWA, SI MSHINDANI.......Hayo yote mbona hukuyasema before the final results or kama ulihisi kuna utata wowote why haukuwasili kwenye ukumbi wa kupiga kura mapema before watu wa kupiga kura hawajawasili!?WANA DMV wamewachagua waliowataka hawakuta watu wenye majungu, na jasba.Keep it moving......
ReplyDeleteDada umepata kura 94!! Ingekuwa mimi ni wewe ningekubali matokeo na kuonyesha umoja ili ujipamge kurudi mwaka 2016. Fanyeni mfano wa Rais Kikwete!! Aliposhindwa urais mara ya kwanza alikubali matokeo na Rais ambaye alikuwa mgombe mwenza ndani ya CCM akamteua kuwa waziri wa mambo ya nchi za nje na alimsaidia na akafahamika Tanzania na duniani pote....Hivyo mlioshindwa kubalini matokeo jiungeni kwenye kamati wana DMV wawafahamu vizuri.. 2016 NJOONI TUTAWACHAGUA
ReplyDeletehahahahah!!! real real or is just a joke. dada usituvuruge. wanadmv wamespeak so loud and clear.
ReplyDeleteDAda ushauri wangu naomba kubali tuu matokeo umeshidwa sana kupita maelezo kura 94 kwa 333 nakuomba kwa miguu yangu yote miwili move on maana kura zikipigwa tena sasa utaumia zaidi unaweza kupata kura ata mbili tuu narudia tena dada kubali matokeo uo ndio ushauri wangu .
ReplyDelete