Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Lewis Makame amefariki Dunia katika Hospital ya AMI Trauma Center, Masaki - Dar
- Alikuwa amelazwa hapo tangu mwezi Julai, 2014 (mwezi uliopita)
Taarifa zaidi, tembelea http://bit.ly/1qjtxi9
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake