MwanaDMV na marafiki zao wakiwa wamejumuika pamoja kwenye kisomo cha Said Mkuu ndugu yake Juma Mkuu anayeishi Maryland nchini Marekani kisomo kilifanyikia Hyattsville, Maryland siku ya Jumapili Aug 17, 2014'
Marafiki, na jamaa wa Juma Mkuu wakijumuika nae kwenye kisomo cha ndugu yake kilichofanyika siku ya Jumapili Aug 17, 2014 Hyattsville, Maryland.
Kisomo kikiendelea.
Colonel Aldoph Mutta mwambata wa jeshi kwenye Ualozi wa Jamhuri ya Muunganoo wa Tanzania akitoa salamu za rambiirambi kutoka Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kwa niaba ya Balozi Liberata Mulamula kwa wafiwa. Picha kwa hisani ya Makeo.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake