Monday, August 11, 2014

KAMATI YA UCHAGUZI: TAMKO RASMI

“Kwa wanaDMV: Inaelekea kumebakia suitafahamu au tafsiri fulani kuhusu matokeo ya uchaguzi wa DMV 2014 kufuatia takwimu za kura tulizotoa na kuwasilisha kwa bodi ya DMV. Tamko hili linaweka wazi mshindi katika kila nafasi iliyogombaniwa. Hivyo kwa mujibu wa matokeo ya kura na wa katiba, wafuatao ndiyo viongozi wapya wa jumuia yetu kwa miaka miwili ijayo:
RAIS- Iddy Sandaly
MAKAMU WA RAIS - Harriet Shangarai
KATIBU- Saidi Mwamende
MAKAMU WA KATIBU- Bernadetta Kaiza
MWEKA HAZINA- Jasmine Rubama

Tamko hili pia limefikisha Kamati ya Uchaguzi wa 2014 kwenye tamati yake.
Mungu ibariki DMV, na adumishe mshikamano imara wa Watanzania.”

Safari Ohumay

Mwenyekiti

2 comments:

  1. Kwanza kabisa napenda kuwapongeza viongozi wetu wote mlio chaguliwa na wale wengine kwa bahati mbaya hamkuweza kuchaguliwa ,lakini kunakitu kikubwa sana nataka kukiongelea apa naongelea kutoka ndani ya moyo wangu na si kitu kingine bali mwana DMV mwenzentu Hariet Shangarai amekua mgeni hapa DMV huyu dada nilikua sijawai kumuona hata siku moja lakini nikaja kuonanane ni mtu maridhia , anaheshima ,anaongea na watu vizuri bila jazba yanihana cha mdogo wala mkubwa hii ndio sababu kubwa ilinifanya niwaombe wa DMV wenzangu tumchague huyu dada naombeni wanawake wenzangu wa DMV tufanye nae kazi vizuri .god bless you Hariet na mungu ibariki community yetu pamoja na viongozi wetu wote . one more thing kujuana na watu sio kwamba ndio utashinda tabia ukarimu unasidia sana .na kabla ujaongea tafakari mara mbili maneno utakayo ongea kwa watu ni hayo tuu sijatukana mtu .

    ReplyDelete
  2. Sawa kabisa. Mambo pia watu wanayoandika kwenye blogs na mitandao watu wanayajali sana unapoomba uongozi. Ukiwa mtu wa kutumia lugha chafu, kejeli na dharau then you are not going to make it in our community... Kama unataka kuwa kiongozi tunza heshima yako, waheshimu watu wote.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake