Monday, August 11, 2014

SIYO TANZANIA NA KENYA TU JITIRIRISHE NA HII YA MTANGAZAJI MWENYE MVUTO ZAIDI NCHINI UGANDA

Argatha Loswash ni mtangazaji wa NBS TV katika jiji la Kampala ndiyo anaetesa pande hizo kwa kuwa na umbo lenye mvuto wa kibantu.
Tanzania ni huyu Masogange ndiyo anagonga medias kwa umbo lake tata. 
Kenya hii ndiyo habari ya mjini Vera Sidika
Vera katika pozi za kimitege anasema mwili wake umekaa kibiashara zaidi.
Masogange na mwenyewe ndiyo hivyo hivyo kikazi zaidi.
Argatha Kampala wanatafutana pia.

1 comment:

  1. Masogange ...mtoto guu guu hasa. .kitu kimebalance chini mpaka juu. .chezea watoto bongo tz weyeee !!

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake