Monday, August 11, 2014

MATOKEO KATIKA PICHA SIKU YA UCHAGUZI WA KUCHAGUA VIONGOZI WA JUMUIYA DMV


Baada ya kupiga kura, wakibadilishana mawazo, Hamza Mwamoyo, kessy Jenabi, Seif Ameir na wengine siku ya uchaguzi
Mama Eliud nae alifika kutumia haki yake ya kupiga kura
Kutoka kushoto Ludigo Muhagama, kati Sunday Shomari na Tumaini
Kwa tabasamu kali meya wa DC Saleh Mohammed (mwenye kofia) akisalimia na mpwa aliekaa


Mama Eliud alikuwepo kutumia haki yake kidemokrasia
Meya Kushoto na Malasi wakiwa katika meza chombeza chombeza huku kura zikitumbukia

















































































































































































No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake