ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 6, 2014

KATIKA MA FIRST LADY HUYU ANAONGOZA KWA KUWEKA NYWELE NYINGI KICHWANI

Chantal Vigouroux mke wa rais wa Cameroon Paul Biya unaweza kusema ndiyo anaongoza kwa kuweka nywele nyingi kichwa.
Hapa rais Paul Bayi akiwa na mke wake huko Washington. DC
Viongozi wengine wakija na mafirst lady wao lakini Paul Kagame alikuja na mtoto wake.
Mtoto wa Kagame alivyowapiga bao kwa urefu kuwazidi Obama na mke wake.
 Sasa hii sijuhi ni Dira au Bazaar


No comments: