Mimi Charles Lawa nina Mu- endorse Ndugu Iddi Sandaly Kwenye Urais wa Jumuiya .
Kaka Iddi Amekuwa na kila mtu pamoja, kwenye Raha na Shida.
Nimemjuwa Kaka Iddi Kupitia Shughuli za Jumuiya na Amekuwa ni Sababu ya Mimi Kuipenda Jumuiya yetu ya DMV.
Ni Mstaarabu na Mwenye Uwezo wa kuongoza.


No comments:
Post a Comment