WanaDMV tujumuike na ndugu yetu Juma Mkuu kwenye kisomo cha kumuombea ndugu yake marehemu Saidi Mkuu kitakachofanyika siku ya Jumapili Aug 17, 2014 katika address ya 6200 Ager Road, Hyattsville, MD 20782 kuanzia saa 10 jioni tafadhali ukipata ujumbe huu mtaarifu na mwenzio kwa maelezo zaidi na maelekezo tafadhali wasiliana na Makeo nambari ya simu 301 318 3419 asante |
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake