Ndugu Wana DMV. Wote Mnaombwa na Kukaribishwa kwenye COOKOUT (BBQ) ya Pamoja ya Watanzania wote wa Hapa DMV.
Watoto, Wazee na Vijana
Jumamosi Hii August 16, 2014
Lengo ni kukutana watanzania wote, kufahamiana, kujadiliana, Ku Network na kushauriana na kuimarisha , udugu, upendo, amani na umoja wetu.
Tunawaomba Wote Muudhurie.
HII NI BBQ YA JUMUIYA NA WOTE TUNAKARIBISHWA NA TUNAOMBWA TUUDHURIE.
BBQ hii itafanyika:
1030 Forest Glen Road
Silver Spring, MD 20901
Kuanzia 5:00 PM- Mpaka 9PM
Nawashauri timu Libe mfike kwa wingi kwa vile michango yenu ndiyo itakayotumika kunulia nyama. Fikeni mfaidi matunda ya jasho lenu.
ReplyDeleteni muhudhurie au Muudhurie, tuhudhurie au tuudhurie....na hii ndo bakshishi ya uchaguzi mullar siyo!
ReplyDeletewhat is the dress code?
ReplyDeleteacheni majungu DC.
ReplyDeleteAnonymous wa 2:28 pm timu Libe ilichangia kiasi gani cha pesa ? Members walikuwa 26 kwenye taarifa ya kwanza ya tume.Siku ya uchaguzi tume ya uchaguzi iliripoiti wanachama 600.Jumuiya kwa sasa ni tajiri kuliko jumuiya zote USA.Tuna kiasi gani banki ?
ReplyDeleteTime Mwang'ombe dress code ni suit with a bull tie, Team Sandaly dress code shorts and t-shirts or bahama shirt.
ReplyDeleteChoo ule nyama wewe wacha ngebengebe zako hata kwenye bule lazima usemekitu lo;
ReplyDeletembona uongozi wa safari hii minuso back to back!
ReplyDeletehaya tutakuja, bia ruksa au haram?
ReplyDeleteHii ni Capital City, usije kichwa kichwa hapa mjini, utukane watu halafu ufikiri utapewa urais. Ukija usipokuja kwenye nyama choma shauri yako, nyama za nguvu zitachomwa Jumamosi. Watu Peeepooooo kaeni mkao wa kula.
ReplyDeleteThis is one of the myopic moves that typical nonvisionary leaders make. Kesho na kesho kutwa utawakuta wanaitisha harambee ya kuchangia lobbying activities za Dual Citizenship. What's more important: The nonurgent BBQ or the once-in-a-lifetime opportunity to secure Dual Citizenship? Shame on you!!!
ReplyDeleteKama wewe huna meno waachie wenzio wenye nayo watafune. Wewe beba Box 16 hours. Sisi kazi na dawa.
ReplyDelete