Timu ya Yanga ughaibuni inasikitika kutangaza msiba wa mchezaji wake aliyefariki siku ya Ijumaa Aug 14, 2014 Clevelnd, Ohio na maziko yanatariwa kufanyika kesho huko huko Cleveland Ohio.
Aliyesimama wa kwanza kushoto ndiye Mohammed Ali enzi ya uhai wake akiwa katika mechi ya Yanga na Simba iliyochezewa Columbus, Ohia May 28, 2011 na Yanga kufungwa na Simba bao 5-2 Pia marehemu alishawahi kuwa mmiliki wa mgahawa wa Taste of Zanzibar. Uongozi na wachezaji wote wa Yanga ughaibuni unatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu, tunakuombeeni kwa mwenyezi Mungu awatie nguvu na aiweke roho ya marehemu pema peponi, Amin.

In nah ill ah wainah Lillah rajiun
ReplyDeleteHEEE SIJAIONA VIZURI HII PICHA NA WEWE PIA UMMOOOOOO NY IBRA.EEEH.HAYA HAYA MPWA KADOGO
ReplyDeleteR.I.P. Nakumbuka kumuona Taste of Zanzibar. pia alikuwa anafanya catering kwenye events nyingi sana ... Gone too soon...
ReplyDelete