Tuesday, August 12, 2014

LIVERPOOL HUENDA IKAMSAJILI SAMUEL ETO'O

Kocha wa Liverpool Brendan Rodgers amesema anafikiria kumsajili mchezaji aliyechezea Chelsea FC msimu uliopita Samuel Eto'o ambaye alisajiliwa Chelsea kwa msimu mmoja na sasa hivi ni mchezaji huru.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake