ANGALIA LIVE NEWS
Tuesday, August 12, 2014
LIVERPOOL HUENDA IKAMSAJILI SAMUEL ETO'O
Kocha wa Liverpool Brendan Rodgers amesema anafikiria kumsajili mchezaji aliyechezea Chelsea FC msimu uliopita Samuel Eto'o ambaye alisajiliwa Chelsea kwa msimu mmoja na sasa hivi ni mchezaji huru.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
View mobile version
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment