Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na Viongozi wengine katika kumswalia aliyekuwa Mke wa Marehemu Rais Idrisa Abdulwakil (awamu ya tatu) Bibi Rehema Khamis katika msikiti Luta Kiembesamaki na kuzikwa Chukwani
Wananchi na Waislamu wakibeba Jeneza la Marehemu Bi Rehema Khamis aliyekuwa Mke wa Marehemu Rais wa Zanzibar Idrisa Abdulwakil (awamu ya tatu) Chukwani alikozikwa leo wilaya ya Magharibi Unguja.
No comments:
Post a Comment