MCHUNGAJI IGOGO AKANUSHA KUHUSIKA NA BARUA YA WACHUNGAJI ANASEMA YEYE HAJAHUDHURIA KIKAO CHOCHOTE NA SAINI YAKE IMEGUSHIWA
Mchungaji Igogo akikanusha kuhusika na barua ya Wachungaji iliyoandikwa leo kwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani na kuwekwa kwenye mitandao ya kijamii pia amesikitishwa sana saini yake kugushiwa MSKILIZE
Wewe Igogo ndio mchungaji peke yako, hao wengine sijui niwaite jina gani! Wao ndo majangili wakubwa ndo maana hata wanahisi kura zimeibiwa, shame on you nyie mnaojiita wachungaji. Mnafikia mpaka kugushi sahihi ya mwanakondoo wa Mungu!!!!!ona mlivyoumbuka sasa....... Nyie hamna maana kabisa ndo maana mmetelekeza familia zenu back home. Kwanza wanafiki wakubwa tukiwaletea hata matatizo ya ndoa zetu mnatutangazia mitaani, hopeless kabisa.....
Mama balozi sikuingili kazi, ila tu!! Ikitokea umeamua kuita hao wanaojiita wachungaji, tafadhali waulize kama wana Licence zao za uchungaji. Hao ni street pastors wasio na mwelekeo wao wenyewe wamefarakana hawaelewani, kila mtu ansalia kwake!!!!kwanza wote wametelekeza familia zao bila hata huruma. Kina mama tuandamane kutetea haki za familia zetu. Iweje mume akutelekeze na watoto alafu hana hata dalili ya kurudi maana hata karatasi hana. Kama ni haki mnadai, nasi tunadai haki ya familia zenu, rudini nyumbani mkalee familia zenu.
JAMANI WANADMV WENZANGU NAWAOMBA TUWAPE NAFASI HAWA WACHUNGAJI WADENOUNCE HIYO ARTICLE YAO, NAWAPA SIKU TATU MPAKA JUMATATU SEPTEMBA 18,2014@ 12PM KAMA HAWAJAOMBA MSAMAHA MIMI NITATUMIA MY CONSTITUTION RIGHT 1ST & 5TH AMMENDMENT KUWAPELEKA HAWA WACHUNGAJI MAHAKAMANI KWA KUJARIBU KUTURUBUNI WANADMV. DMV JITAARISHENI KUSIGN PETITION NITAHITAJI SIGNATURE MIA MBILI TU. SICHANGISHI MTU PESA SABABU NIA NINAYO,UWEZO NINAYO NA LAWYER NINAYO. HII AUDIO NI USHAHIDI TOSHA. WENU MWANADMV.
Ignorance.zungumzeni hoja sio watu na mambo yao binafsi au Mipasho umbea,personal atttacts.mtaelimika lini nyinyi.nawaunga mkono wachungaji kwa kuzungumzo hoja zao wazi
9 comments:
Tisa kumi Goooooooooooooooollllll!!!!
Kazi ipo!
Ok wengine wanne wamekubali wameandika.sasa?
Wewe Igogo ndio mchungaji peke yako, hao wengine sijui niwaite jina gani! Wao ndo majangili wakubwa ndo maana hata wanahisi kura zimeibiwa, shame on you nyie mnaojiita wachungaji. Mnafikia mpaka kugushi sahihi ya mwanakondoo wa Mungu!!!!!ona mlivyoumbuka sasa....... Nyie hamna maana kabisa ndo maana mmetelekeza familia zenu back home. Kwanza wanafiki wakubwa tukiwaletea hata matatizo ya ndoa zetu mnatutangazia mitaani, hopeless kabisa.....
Mbavu zangu jamani!!!!
Kwakwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Mama balozi sikuingili kazi, ila tu!! Ikitokea umeamua kuita hao wanaojiita wachungaji, tafadhali waulize kama wana Licence zao za uchungaji. Hao ni street pastors wasio na mwelekeo wao wenyewe wamefarakana hawaelewani, kila mtu ansalia kwake!!!!kwanza wote wametelekeza familia zao bila hata huruma. Kina mama tuandamane kutetea haki za familia zetu. Iweje mume akutelekeze na watoto alafu hana hata dalili ya kurudi maana hata karatasi hana. Kama ni haki mnadai, nasi tunadai haki ya familia zenu, rudini nyumbani mkalee familia zenu.
JAMANI WANADMV WENZANGU NAWAOMBA TUWAPE NAFASI HAWA WACHUNGAJI WADENOUNCE HIYO ARTICLE YAO, NAWAPA SIKU TATU MPAKA JUMATATU SEPTEMBA 18,2014@ 12PM KAMA HAWAJAOMBA MSAMAHA MIMI NITATUMIA MY CONSTITUTION RIGHT 1ST & 5TH AMMENDMENT KUWAPELEKA HAWA WACHUNGAJI MAHAKAMANI KWA KUJARIBU KUTURUBUNI WANADMV. DMV JITAARISHENI KUSIGN PETITION NITAHITAJI SIGNATURE MIA MBILI TU. SICHANGISHI MTU PESA SABABU NIA NINAYO,UWEZO NINAYO NA LAWYER NINAYO. HII AUDIO NI USHAHIDI TOSHA. WENU MWANADMV.
Wachungaji mmejiaibisha
Huyu mchungaji aliyejitoa anataka-kukapitalaize situation. He just want to take advantage of situation. Smart move.
Ignorance.zungumzeni hoja sio watu na mambo yao binafsi au
Mipasho umbea,personal atttacts.mtaelimika lini nyinyi.nawaunga mkono wachungaji kwa kuzungumzo hoja zao wazi
Post a Comment