Advertisements

Friday, August 22, 2014

NICK CANNON NA MARIAH CAREY HAKUPIKIKI WALA HAKULIKI NI MUDA SASA WANA LALA MZUNGU WA NNE.

Hapa Nick akiwa na familiayake mke wake na watoto wao mapacha wakionekana wenye kufurahia maisha ya familia pamoja kabla akujachimbika.
Mariah Carey mwenye umri wa miaka 44 na Nick Cannon 33 inasemekana wamekuwa wakilala tofauti kwa muda sasa. Watonyaji wanasema sababu za masupastaa hawa kufikia hiyo hali ni kutokana na uvumi wa Nick kuchepuka na Mariah kupata nyatu nyatu ya mchepuko huo. Ndoa ya masupastaa hawa imedumu kwa miaka sita wakipika na kupakuwa pamoja nandani ya miaka sita hiyo wamefanikiwa kutengeneza mapacha wenye umri wa miaka 3.
Nakitu kingene inasemekana kuwa Mariah alikuwa na wivu kwa mumewe hadi kukodisha mlinzi maalumu wa kuzuia wanawake kuwa karibu na mumewe pale anavyokuwa klabu bila yeye kuwepo.
Nick alishawahi kutoka na Kim Kardashian hii ilikuwa mwaka 2006
Hapa Nick akipata ukodak kwenye zuria nyekundu wakati wa kurekodi mashindano ya AGT yanayofanyika Radio City New York City.

No comments: