Thursday, August 14, 2014

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA DIASPORA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais Jakaya Kikwete akikaribishwa na Mwenyekiti wa Tanzania Diaspora Initiative Bw. Emmanuel Mwachullah na mratibu wa Diaspora Zanzibar Bw. Hassan Hafidh alipowasili hoteli ya Serena kufungua mkutano wa siku mbili wa Diaspora leo
 Rais Kikwete akimsalimia na Bw. Damien Thereaux, mkuu wa taasisi inayoshughulikia uhamiaji ya International Organisation for  Migration (IOM) 
  Rais Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakiongea na Mwenyekiti wa Tanzania Diaspora Initiative Bw. Emmanuel Mwachullah
 Banda la PPF na Mwana-Diaspora Martin JP
   Rais Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakiongozana  na Mwenyekiti wa Tanzania Diaspora Initiative Bw. Emmanuel Mwachullah kuelekea ukumbini
Rais Kikwete akiwa banda la kampuni ya HUAWEI ambao wametambulisha aina mpya ya mawasiliani ya Radio Call zinazopiga picha za video
Rais Kikwete akiwa banda la kampuni ya HUAWEI akiangalia  aina mpya ya mawasiliani ya Radio Call zinazopiga picha za video
Rais Kikwete akiwa banda la kampuni ya HUAWEI akiangalia  aina mpya ya mawasiliani ya Radio Call zinazopiga picha za video
Rais Kikwete akiwa banda la kampuni ya HUAWEI akiangalia  aina mpya ya mawasiliani ya Radio Call zinazopiga picha za video
Bi Lucy Naivasha (kati) wa akaunti ya Diaspora ya Tanzanite ya benki ya CRDB na vijana wake kwenye banda lao
Rais Kikwte akisalimiana na Mwakilishi wa British Gas (BG)
Rais Kikwete akimpongeza Lucy Naivasha kwa kunadi akaunti ya Tanzanite kwenye mkutano wa Diaspora
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akisalimiana na wafanyakazi wa CRDB kwenye banda lao la Tanzanite

Rais Kikwete akipata maelezo ya Diaspora Account kwenye banda la benki ya KCB
Rais Kikwete akipata maelezo kutoka kwa mkurugenzi wa TANTRADE Mama Jacqueline M. Maleko 
Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio na timu yake kwenye banda lao
Rais Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio na timu yake kwenye banda lao
Rais Kikwete na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda kwenye banda la Tanzania Investment Centre (TIC)
 Katika banda la International Organization for Migration (IOM) tawi la Tanzania
 Rais Kikwete katika banda la International Organization for Migration (IOM) tawi la Tanzania
 Rais Kikwete akipata maelezo toka kwa Bw. Damien Thereaux, mkuu wa taasisi inayoshughulikia wakimbizi ya International Organisation for  Migration (IOM) 
Rais Kikwete akipata maelezo toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwenye banda lao
Rais Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa taasisi ya Wakawaka, inayosambaza umeme jua vijijini
Rais Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa taasisi ya Wakawaka, inayosambaza umeme jua vijijini

Rais Kikwete na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda wakiwa kwenye banda la Wakawaka
Rais Kikwete na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda wakiwa kwenye banda la Wakawaka
Wadau wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu
Rais Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akimkaribisha mgeni rasmi kufungua mkutano huo
Mratibu wa Diaspora katika ofisi ya Waziri Mkuu akiwa na Wana-Diaspora kutoka sehemu mbalimbali
Sehemu ya waliohudhuria mkutano huo
Wana-Diaspora kutoka kila pembe wakifuatilia mwenendo wa mkutano
Mkutano ukiendelea
Wanahabari wa ndani na nje ya nchi walikuwepo
Sehemu ya waliohudhuria mkutano
Balozi Mwanaidi Maajar akiwa na Dr Switbert Zacharia Mkama kutoka ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na wadau wengine wakifuatilia mkutano kwa makini
Mkurugenzi wa Diaspora  Zanzibar Bw. Khamis Mohamed (kushoto) na Mwana-Diaspora mkongwe Dennis Londa na wadau wengine
Wana-Diaspora zaidi wakiwa makini mkutanoni
Wana Diaspora wa Uingereza na Marekani wakiwa mkutanoni
Mwana-Disapora kutoka Houston, Marekani, na mwenzie kutoka New York mkutanoni
Mwana-Diaspora wa Comoro
Wadau kutoka sekta mbalimbali wakiwa katika mkutano
Rais Kikwete akihutubua na kufungua mkutano
Rais Kikwete akifafania jambo
Mbunge Mhe Leticia Nyerere akiwa na Wana-Diaspora wenzake
Kila mmoja yuko makini kufuatilia hotuba
Wana-Diaspora wakereketwa kutoka Uingereza, Mariam Kilumanga na Mariam Mungula wapo pia
Wana-Diaspora wakisikiliza hotuba
Mwana-Diaspora Amos Msanjila kutoka Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza akitafakari
Rais Kikwete akiendelea kuhutubia
Hotuba ikiendelea
Mwenyekiti wa Tanzania Diaspora Initiative Bw. Emmanuel Mwachullah akimpongeza Rais Kikwete kwa hotuba nzuri ya ufunguzi wa mkutano huo
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akimpongeza Rais Kikwete kwa hotuba murua
Mratibu wa Diaspora katika Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Suzan Mzee akitoa maelezo. Pembeni yake ni Bw. Constantine Magavillah, mmoja wa wajumbe wa kamati ya maandalizi
Rais Kikwete akibofya kitufe kuzindua rasmi tovuti ya Diaspora http://www.tanzaniadiaspora.org/
Vifijo baada ya uzinduzi wa tovuti hiyo ya http://www.tanzaniadiaspora.org/
Rais Kikwete, Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda, Mwenyekiti wa Tanzania Diaspora Initiative na Kaimu Mkurugenzi wa Diaspora katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mama Rose Jairo katika picha ya kumbukumbu na kamati ya maandalizi ya mkutano huo
Rais Kikwete, Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda, Mwenyekiti wa Tanzania Diaspora Initiative na Kaimu Mkurugenzi wa Diaspora katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mama Rose Jairo katika picha ya kumbukumbu na Wana-Diaspora kutoka nchi za Ulaya
Rais Kikwete, Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda, Mwenyekiti wa Tanzania Diaspora Initiative na Kaimu Mkurugenzi wa Diaspora katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mama Rose Jairo katika picha ya kumbukumbu na Wana-Diaspora kutoka nchi za Asia
Rais Kikwete, Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda, Mwenyekiti wa Tanzania Diaspora Initiative na Kaimu Mkurugenzi wa Diaspora katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mama Rose Jairo katika picha ya kumbukumbu na Wana-Diaspora kutoka Uingereza
Rais Kikwete, Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda, Mwenyekiti wa Tanzania Diaspora Initiative na Kaimu Mkurugenzi wa Diaspora katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mama Rose Jairo katika picha ya kumbukumbu na Wana-Disapora kutoka nchi za Afrika
Rais Kikwete, Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda, Mwenyekiti wa Tanzania Diaspora Initiative na Kaimu Mkurugenzi wa Diaspora katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mama Rose Jairo na Bw. Damien Thereaux, mkuu wa taasisi inayoshughulikia wakimbizi ya International Organisation for  Migration (IOM) katika picha ya kumbukumbu baada ya ufunguzi wa mkutano huo
Rais Kikwete akiagana na Wana-Diaspora baada ya kufungua mkutano wao
Rais Kikwete akisalimiana na Mwakilishi wa Diaspora katika Bunge la Katiba  Bw. Kadari Singo
Rais Kikwete akisalimiana na kiongozi wa Jumuiya ya Watanzania China
Rais Kikwete akisalimiana na Mwana-Diaspora kutoka Uingereza
Rais Kikwete akiongea na  Wana Disapora
Rais Kikwete akipata selfie na Mwana Diaspora
Rais Kikwete akisalimiana na Mwana-Diaspora Ali Muhidin kutoka Uingereza
Wana-Diaspora wakiendelea kumsalimia Rais Kikwete
Rais Kikwete akipeana mikono na Mariam Kilumanga, Mwana Diaspora kutoka Uingereza
Rais Kikwete akisalimiana na Mwana-Diaspora na msanii Francia Chengula kutoka Reading, Uingereza
Rais Kikwete akiaganba na Wana-Disapora
Wana-Diaspora to Uingereza Francia Chengula, Mariam Mungula na Mariam Kilumanga wakionesha kufurahishwa na mkutano huo wa kwanza wa aina yake hapa nchini
Rais Kikwete akisalimiana na mwanakamati Constantine Magavillah
Rais Kikwete akiagana na Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Nehemia Mchechu.
Rais Kikwete akisalimiana na Mwana-Diaspora Amos Msanjila
Rais Kikwete akisalimiana na Bi  Angela Msangi wa TBC
Rais Kikwete akiagana na wadau wa taasisi ya umeme vijijini ya Wakawaka
Rais akiagana na Wana-Diaspora Minja

1 comment:

  1. Mwanzo mzuri.Lakini km serikali ina nia ya dhati kuwasaidia na kuwaondolea Diaspora usumbufu katika kufuatia taarifa mbalimbali nadhali wangeanzisha one stop shop, ambako watu wataweza kupata huduma na taarifa kwa haraka na hassle free.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake