SEIF AMEIR USO KWA USO NA MWIGIZAJI WA COSBY SHOW ACTRESS PHYLICIA RASHAAD
Seif Ameir mkaazi wa DMV akipata ukodak moment na mwigizaji aliyepata umaarufu kwenye kipindi cha Cosby Show Actress Phylicia Rashaad walipokutana mitaa ya kati jijini Washington, DC jana Alhamisi Aug 14, 2014
1 comment:
Anonymous
said...
safi sana kwa picha ya ukoda na bibiye but hala hala mikono watu wa huko tunasikiaga hawapendi mambo ya kujifanyia tuyatakayo ya kibongo bongo.
1 comment:
safi sana kwa picha ya ukoda na bibiye but hala hala mikono watu wa huko tunasikiaga hawapendi mambo ya kujifanyia tuyatakayo ya kibongo bongo.
Post a Comment