Advertisements

Sunday, August 31, 2014

SHEREHE YA SOKA FESTIVAL MASSACHUSETS


 Timu ya mashariki ya watoto ikipata mawaidha kutoka kwa kocha wake wakati wa mapumziko baa ya kuwa ikiongoza kwa kwa bao 2-0 ambazo zilirejeshwa na tima ya watoto ya magharibi na kfanya mchezo uamriwe kwa matuta ambako timu ya magharibi waliibuka mshindi katika mechi hiyo ambayo ni maadhimisho ya soka festival inayoendelea Camp Kee Wanee iliyopo 1 Health Camp Rd, Greenfield, Massachuesetts nchini Marekani sherehe zinazofanywa kila mwaka na Watanzania wa Massachesetts na majirani zao mwaka huu zimefanyika siku ya leo Jumampili Aug 31, 2014.
Timu ya magharibi ya watoto wakipata mawaidha kutoka kwa kocha wake.
Mpambano wa timu za watoto ukiendelea na baadae kufuatiwa na wakubwa na timu ya New York iliyokuja kushiriki michezo hiyo inayofanyika kila mwaka Massachusetts.
 
 Watoto wakichuana vikali.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi.

 
Picha zingine baadae

No comments: