Saturday, August 16, 2014

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) NA UCHUMI SUPERMARKETS TANZANIA LIMITED (USL) ZATILIANA SAINI KUKUZA BIASHARA

Viongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Uchumi Supermarkets Tanzania Limited (USL) wakikata keki kuashiria kuanza kwa ushirikiano endelevu baina ya NHC na USL.
Mtendaji Mkuu wa Uchumi, Dk. Jonathan Ciano akitiliana saini hati ya makubaliano na Afisa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu (kushoto). 
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia KyandoMchechu(kushoto) akibadilishana hati ya makubaliano na Afisa Mtendaji Mkuu wa Uchumi, Dk. Jonathan Ciano.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake