Friday, August 15, 2014

TAMKO LA WACHUNGAJI KUHUSU UCHAGUZI WA VIONGOZI WA JUMUIYA-DMV






35 comments:

  1. Nawaheshimu watumishi wa mungu lakini lazima tuseme ukweli!! UCHAGUZI ULIKUWA WA HAKI. Kwanza UKIFIKA police anacheck ID yako kuhakikisha jina lako limo. Pili wanakamati wanacheck jina lako kwenye wapiga kura waliojiandikisha na kama jina lako lipo unatakiwa uonyeshe kuwa bado ni mkazi wa MD; Proof of residency was addition to confirm your membership hayo mliyoyasema si sahihi.
    Hizo kuwa tisa mpeni LIBE BADO HASHINDI INGAWA ZINAWEZA KUWA ZA LIBE PIA. HUU NDIYO TUNAITA UDINI. WACHUNGAJI WALILETA WAUMINI WAO AMBAO HAWAKUWA HATA NA BARUA YA BANK KUTHIBITISHA RESIDENCY YAO NA KWA HESHIMA YA WACHUNGAJI KUWAPIGIA KIFUA KUWA NI WAUMINI WAO WALIRUHUSIWA KUPIGA KURA. NAWASHAURI VIONGOZI WA DINI MSIINGILIE MAMBO YA JUMUIYA SABABU HII NI DALILI MBAYA. JE INGEKUWA LIBE NI MWISLAMU MNGEANDIKA HII RIPOTI ISIYOLUWA NA UKWELI... NA MASHEIKH NAO WAANDIKE WALIYOYAONA SIJUI DMV TUTAFIKA WAPI. MWENYEKITI WA TUME AMEETOA MAELEZO YA KUTOSHA NA TUYAHESHIMU..

    ReplyDelete
  2. Wangesema masheikh ingekuwa udini

    ReplyDelete
  3. Hawa watu wengi wamelipa $25 within couple of days before election walitegemea mweka hazina aandike risiti 300 za $25?? This is not economical at all kupoteza risiti kwa vidola $25. Wanachama wenye uchungu na jumuiya yao wamelipa $120 THE WHOLE YEAR Fees na wamepewa risit since then. When you do things in african way you should expect the african way treat. Cha muhimu wachungaji ni kuwa JE KUNA MTU YEYOTE ALIYELIPA NA HAKURUHUSIWA KUPIGA KURA??? MAJINA YALIORODHESHWA YALE YALIYOKOSEKANA YALISHIHISHWA NA KILA MTU ALIFANYA HAKI YAKE YA KUPIGA KURA. SASA MNAPOPOTOSHA JAMII NA MLOLONGO WA HABARI ZISIZO NA UKWELI NA NYINYI NI WATU WA MUNGU NDIPO INAPOTUSUMBUA TULIO WENGI NA TULIOKUWEPO SIKU HIYO TUKIONA TUME, BODO NA VIONGOZI WALIOPITA WAKIKUTANA FARGHA KUTATUA UTATA WOWOTE ULIOJITOKEZA NA KUWAPA WATU HAKI YA KUPIGA KURA...

    JAMANI TUACHE UDINI, HII NI MARA YA KWANZA KUONA VIONGOZI WA DINI WAKIINGILIA MAMMBO YA JUMUIYA NA HUU SI MWANZO MZURI TUNAWAASI MUENDELEE KUENEZA NENO LA MUNGU NA KUYAACHA MAMBO YA JUMUIYA YAONGOZWE NA BODI NA KATIBA TULIYOITUNGA, MAAANA NA MASHEIKH NAO WAKIIBUKA NA KUTOA TAMKO TEAM LIBE WATAPELEKA CNN NA JAMII FORUM!

    ReplyDelete
  4. Hawa watu wengi wamelipa $25 within couple of days before election walitegemea mweka hazina aandike risiti 300 za $25?? This is not economical at all kupoteza risiti kwa vidola $25. Wanachama wenye uchungu na jumuiya yao wamelipa $120 THE WHOLE YEAR Fees na wamepewa risit since then. When you do things in african way you should expect the african way treat. Cha muhimu wachungaji ni kuwa JE KUNA MTU YEYOTE ALIYELIPA NA HAKURUHUSIWA KUPIGA KURA??? MAJINA YALIORODHESHWA YALE YALIYOKOSEKANA YALISHIHISHWA NA KILA MTU ALIFANYA HAKI YAKE YA KUPIGA KURA. SASA MNAPOPOTOSHA JAMII NA MLOLONGO WA HABARI ZISIZO NA UKWELI NA NYINYI NI WATU WA MUNGU NDIPO INAPOTUSUMBUA TULIO WENGI NA TULIOKUWEPO SIKU HIYO TUKIONA TUME, BODO NA VIONGOZI WALIOPITA WAKIKUTANA FARGHA KUTATUA UTATA WOWOTE ULIOJITOKEZA NA KUWAPA WATU HAKI YA KUPIGA KURA...

    JAMANI TUACHE UDINI, HII NI MARA YA KWANZA KUONA VIONGOZI WA DINI WAKIINGILIA MAMMBO YA JUMUIYA NA HUU SI MWANZO MZURI TUNAWAASI MUENDELEE KUENEZA NENO LA MUNGU NA KUYAACHA MAMBO YA JUMUIYA YAONGOZWE NA BODI NA KATIBA TULIYOITUNGA, MAAANA NA MASHEIKH NAO WAKIIBUKA NA KUTOA TAMKO TEAM LIBE WATAPELEKA CNN NA JAMII FORUM!

    ReplyDelete
  5. this is real a shame; hawa watu wwanajiita viongozi wa kiroho!!! walikuwa wapi siku zote katika jumuiya hii. kwanza hata mmoja wao hajawahi kuwa mwanachama hai wa jumuiya. leo kwa sababu mtu mliyekuwa mnataka awe rais hajachaguliwa mnajaribu kumwandikia mama balozi barua na kama ni kweli mnamwandikia mama balozi barua kwa nini mnaipost katika blogu. hii ni propaganda isiyokuwa na dhana yoyote. kazi yenu ni kulitumikia kanisa na sio kujiingiza katika malumbanio yasiyokuwa na msingi wowote. tumikieni makanisa yenu sio kufanya kampeni zisizokuwa na msingi wowote,hiyo barua yenu haijengi ila inabomoa kabisa jumuiya yetu. nyinyi kama wachungaji hamna position ya kuita uchaguzi batili wakati mawakala wote wa wagombea walikuwa pale kusimamia upigaji kura pamoja uhesabu kura. hizi ni propaganda na kumjaribu mama balozi katika suala ambalo kila mmojawetu tulioenda kupiga kura zoezi Zima lilikuwa la huru na haki. luka usiibanie hii ni katika suala la kuelezzana ukweli.

    ReplyDelete
  6. Hii inasikitisha mno wala sio kidogo. Kama viongozi wa kidini, kazi yenu kubwa ni kuwakusanya watu waishi kwa upendo na sio kuleta matabaka. Hii italeta matatizo sana kama mmeamua kuingilia na hili. Ninyi kama viongozi wa dini mmeahindwa kwa pamoja kukaa na kuweka kanisa moja na kufanya kazi pamoja leo hii mmeungana mkono kwenye hili? Hata kwenye Bibilia imeandikiwa "utoe kwanza boriti kwenye jicho lako ili uweze kuona kibanzi kwa mwenzako." Basi kama mmeungana kwa hilo, hebu mkaungane tupate kanisa moja la watanzania. Ni hayo tu Luke naomba usibanie, ukweli lazima usemwe. Watu wa kubali yaishe na kuendelea na maisha.

    ReplyDelete
  7. Wow,

    Wachungaji wetu mfano mbaya huu. Kweli mnatudhalilisha. Kama kweli mlitaka kumuandikia barua balozi kwanini mnaipeleka barua hiyo kwenye blogs na facebook?.

    Hii inaonyesha kwa jinsi gani mlivyopoteza muelekeo.

    Pia taarifa zinaonyesha katika nyinyi wote hakuna hata mmoja ambaye alishawahi kuwa mwanachama hai wa Jumuiya. Sasa leo ninyi mnajifanya wasemaji wa watu wa hapa DMV.

    Tatu kwa nini mtajiingiza na Mambo haya?. Je mnajuwa kuwa waumini wenu wako watu wa Iddi na wako watu wa Libe?

    Hacheni kuleta ubaguzi na migogoro.

    ReplyDelete
  8. Kaka Luka naomba usibanie hii kabisa.

    Kwanza nimpongeze sana yule Padri Mkatoliki kwa kutosema lolote. Hawa wachungaji tunawajua walikuwa wanampigia kampeni mgombea mmoja, sasa tumefanya uchaguzi na mambo yameisha eti wanaandika barua kwa mama balozi, for what?

    Kwa nini hiyo barua wametuma kwenye blog? si wangempa mama balozi barua kama mawazo yao. Kwanza wao ni kina nani? wenyewe wajiushishe na mambo ya kiroho hii ya Jumuiya watuachie wenyewe.

    Mgombea wao alitembelea makanisa yao sana, hata Baltimore alikwenda, lakini yule Padri Mkatolik akapiga misa kama kawaida na wala hakumwita mbele kumtambulisha kama mchungaji mmoja alivyofanya wiki chache kabla ya uchaguzi.

    Wachungaji nyinyi ni watu wa kutushauri kiroho, lakini kwa hili mmekosea. Uchaguzi umeisha, mngetafuta njia ya kukaa na mgombea wenu kumwambia kuwa akubali tu matokeo, lakini hili la kusema uchaguzi hakuwa wa haki, hapana, hili silo lenu.

    ReplyDelete
  9. Haha wachungaji bure sana. Sasa mie mbona nasali kwenye kanisa lao, lakini nimechagua Iddi, na uchaguzi ulikuwa wa haki. Ndio maana kuna mmoja wao hapa (sitaji jina) alikuwa anapigia watu simu kuhusu uchaguzi huu na hata mie alinipigia kuniambia mengi sana juu ya uchaguzi na mtu wa kumpigia. Alinishawishi sana, lakini nilibadili mawazo yangu na kumpigia Iddi Ijumaa jioni baada ya kukutana na rafiki zangu wawili.

    Wachungaji ya Mungu tumpe Mungu na ya Kaisari apewe kaisari. Yesu aliingia kwenye mtego kama huu wenu, walimfuata wakamuuliza kama ni halali kulipa kodo au laa..walikuwa wanamtega tu…lakini yeye akawajibu akiwa na maana ya kimungu ni ya kimungu na ya serekali ni ya serekali…acheni kujiingiza huko, kwanza nyie siyo hata wanachama.

    ReplyDelete
  10. Miaka yote tumekaa pamoja DMV WAKIRISTO NA WAISLAMU KAMA NDUGU.JAMBO LA KUSIKITISHA WATU WENYE HESHIMA ZENU ZA KIDINI KUINVOLVE MAMBO YA UCHAGUZIT=.ITS VERY SAID BAADA YA KUJENGA MNABOMOA.

    ReplyDelete
  11. Yaani sasa najivunia UKATOLIKI WANGU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    Shame on you wachungaji!! Kazi yenu ni kuleta kondoo pamoja si kutapanya!!!!

    Unganeninwenyewe kwanza!!
    Hapo mlipo kila mtu anakanisa lake!

    Kwa nini amkupiga maombi na kufunga kabla ya uchaguzi kuombea amani????


    Hongera Viongozi wa Kiislamu na madhehebu makubwa yasiyojiingiza kwenye siasa.

    Mmejitia Aibu!!

    ReplyDelete
  12. Hawa wamesomea wapi?

    ReplyDelete
  13. NAOMBA COMMENT ZANGU UZIWEKE PIA

    hii inaonyesha wazi wa kuwa kumbe kungekuwa na udini kama angechaguliwa 'LIBE' imekuwa kheri kubwa sana kukosa kumbe, maana walianza kusema kuwa alotangaza ushindi ni rafiki yake Iddi wapo pamoja katika jumuia ya waislam, pakawa kimya sasa imekuja mambo ya wachungaji LOL, ni hatari kubwa sana. IDDI kuongoza kwake kote hajawahi kutubagua na waislam, lakini anaonekana LIBE ni mdini sana hafai kabisa kuwa mgombea wa DMV maisha yake yote, na kama akichaguliwa basi inaonyesha wazi atatubagua na waislam. wewe ushakosa na yashapita kwanini unahangaika hangaika, kwani urais wa DMV kikubwa kikubwa kipi haswa unachong'ang'ania. TULIA USITUGOMBANISHE NA WAISLAM TUMEKAA NAO VIZURI SANA MIAKA YOTE HAPA DMV

    ReplyDelete
  14. Mimi nina mawazo tofauti kidogo na watu wote mliochangia. "Watu makini hujadili hoja, hujadili IDEAS, watu mbumbumbu hujadili WATU, nani kavaa nini, nani kala nini, nani anaendesha gari gari gani, na vitu kama hivyo. Hoja hapa ni "uchaguzi ulikuwa huru na wa haki? Kama haukuwa huru basi kuna haja ya huo uchaguzi kurudiwa. Kama ulikuwa wa haki kwa maana ya kwamba kulikuwa na uwanja sawa wa kampeni mpaka katika kuhesabu kura, hiyo ndiyo issue hapa. I hope wote waliotoa hoja zao hapa wanaishi maeneo ya DMV na nawaomba ndugu zangu tujadili hoja, tusijadili wachungaji, wala tusimjadili mtu.
    Kwa hoja zilizosemwa na wachungaji kama zinakubalika na kwama ni za kweli, basi uchaguzi wenu haukuwa huru na wa haki" Kama kuna hoja tofauti na hizi, tuleteeni ili tuzichambue.

    ReplyDelete
  15. NAOMBA COMMENT ZANGU UZIWEKE PIA

    hii inaonyesha wazi wa kuwa kumbe kungekuwa na udini kama angechaguliwa 'LIBE' imekuwa kheri kubwa sana kukosa kumbe, maana walianza kusema kuwa alotangaza ushindi ni rafiki yake Iddi wapo pamoja katika jumuia ya waislam, pakawa kimya sasa imekuja mambo ya wachungaji LOL, ni hatari kubwa sana. IDDI kuongoza kwake kote hajawahi kutubagua na waislam, lakini anaonekana LIBE ni mdini sana hafai kabisa kuwa mgombea wa DMV maisha yake yote, na kama akichaguliwa basi inaonyesha wazi atatubagua na waislam. wewe ushakosa na yashapita kwanini unahangaika hangaika, kwani urais wa DMV kikubwa kikubwa kipi haswa unachong'ang'ania. TULIA USITUGOMBANISHE NA WAISLAM TUMEKAA NAO VIZURI SANA MIAKA YOTE HAPA DMV

    ReplyDelete
  16. SIJAONA KIBAYA WALICHOKIFANYA WACHUNGAJI. WAO KAMA WACHUNGAJI WANAO WAJIBU KATIKA JAMII TO SPEAK AGAINST ANYTHING THAT PUTS OUR SOCIAL HARMONY AT RISK. IT'S NO SECRET THAT THE PRESIDENT'S ELECTION WAS RIGGED. I AM NOT NECESSARILY SAYING THAT THE DECLARED WINNER RIGGED THE ELECTION, BUT THE ELECTION WAS RIGGED, NOTWIHSTANDING.

    WHEN THERE'S UNQUESTIONABLE EVIDENCE THAT AN ELECTION HAS BEEN RIGGED, THE ONLY EQUITABLE CORRECTIVE MEASURE AT THE ELECTION COMMITTEE'S DISPOSAL IS TO NULLIFY THE ELECTION RESULTS AND ORDER A DO OVER.

    THE STEREOTYPICAL MINDSET OF EXPECTING SPIRITUAL LEADERS TO NOT TALK ABOUT ANYTHING OTHER THAN PREACHING GOSPEL IS PREDOMINANT IN COMMUNIST AND OTHER DICTATORIAL REGIMES, NOT IN A TRULY DEMOCRATIC SOCIETY. NO COMMITTED SPIRITUAL LEADER IN A DEMOCRATIC SOCIETY WILL STEER CLEAR OF NONRELIGIOUS MATTERS THAT INFRINGE ON HIS OR FOLLOWERS' SOCIAL WELLBEING.

    LET'S ACT AS CIVILIZED PEOPLE, WHO HAVE HAD THE OPPORTUNITY TO EXPERIENCE THE MOST ADVANCED FORM OF DEMOCRACY KNOWN TO MODERN WORLD. TUACHENI KUKEJELI VIONGOZI WA KIROHO KWA KUTUMIA KASUMBA ZA KIDIKTETA.

    WACHUNGAJI NA VIONGOZI WENGINE WA KIROHO MSISITE KUKARIPIA MIENENDO INAYOPROMOTE TENSION NA MIPASUKO KATIKA JAMII INAYOEPUKIKA.

    AHSANTENI.

    ReplyDelete
  17. Jamani mwenye blog huna haja ya kuachia au kutoa comment negative. Wachungaji wametoa tamko lao kama Watu wengine walivyo toa tamko. Hayo mambo ya kujitia aibu yanatoka wapi? Tatizo mnapenda mashindano pia hakuna ubaya kuweka barua vijimambo coz ndo sehemu watu tunapeana taarifa Mimi sipo kwa libe Wala iddi ila kwa hili nawapa sifa wachungaji wame toa maoni jinsi uchaguzi ulivyo Kuwa. Na kusisitiza kupata Amani sio kwenda kula nyama choma wakati mmeiba kula

    ReplyDelete
  18. Natoa pongezi kwa wachungaji kuona hii hari mungu awabariki hawaja mpigia mtu debe wametoa mapungufu na kutoa ushauri

    ReplyDelete
  19. Mimi ngoja nikapige box nawashukuru Wamarekani kwa roho zao nzuri kwani wanatukubali wageni kuja kuishi bila kujali kama waisilamu au wakristo

    ReplyDelete
  20. WACHUNGAJI MMEFANYA JAMBO JEMA KWA MAONO YENU.AKILI ZENU ZIMESEMA KILE MLICHOKIONA NA KUKISHUHUDIA PASI KUMUMUNYA MANENO.

    MBARIKIWE SANA KWA KULIONA HILI.

    ReplyDelete
  21. Marekani ni nchi nzuri sana kwani haibagui dini Mungu ibariki USA na wote wanaopinga walaaniwe

    ReplyDelete
  22. MIMI NAWAKUMBUSHA WATANZANIA WENZANGU KUWA TUWASHUKURU SANA WAMAREKANI KWANI WANA ROHO NZURI WANATUPOKEA BILA KUJALI MUISILAMU AU MKRISTO MUNGU AWALINDE SANA KWANI UKIEENDA BAADHI YA NCHI HUKO MIDDLE EAST MARUFUKU KAMA WEWE SIO DINI YAO HUKO WANAAMINI ILI KUISHI LAZIMA UFUATE DINI YAO ILA HAPA MAREKANI KILA DINI IPO HURU PIGA KAMPENI POPTE PALE MISIKITINI AU KANISANI HAWANA SHIDA KWA HIYO WOTE KWA PAMOJA TUUNGANE KUIOMBEA MAREKANI AMANI NA UTULIVU NA MUNGU AWABARIKI ZAIDI

    ReplyDelete
  23. Mmekula pesa za watu sasa kazi kwenu kuzilipa. Mnajizalilisha sasa!

    Nasikitika!!

    ReplyDelete
  24. Naomba kuwauliza hawa wachungaji kuwa ni nani kati yenu anyefuata haki kwa kuishi hapa USA kihalali? Je mnaruhusiwa kufanya kazi hapa USA kihalali? Je, mlipoomba viza zenu za kuja USA mlimwambia mtoa viza kuwa mtakuja kuzamia? Kwanini wengi wenu mnapopata misiba mnashindwa kurudi nyumbani kuhudhuria mzishi wkati makanisa yenu yapo tayari kuwalipia nauli? Kwanini wengi wenu mnatumia Comcast cable za mazabe? Napenda kuwashuri kuwa kabla ya kukosoa uhalali wa kitu mjitathmini ninyi uhalali wenu wa kuishi hapa DMV kwanza kabla ya kunyoshea watu vidole. Tunawaheshimu, tunaomba mjiheshimu.

    ReplyDelete
  25. Mmekula hela za watu haya
    Kulipa sasa!!!!

    ReplyDelete
  26. WAKATOLOKI HUWA HATUSHIRIKI UPUMBAVU. HONGERA SANA PADRI SHAYO KWA KULITAMBUA HILO.

    ReplyDelete
  27. DJ LUKE ACHA DISCRIMINATION. KWA NINI MAONI YA UPANDE MWINGINE HUYA-PUBLISH? TUNAJUA WEWE UKO UPANDE WA SANDALY, LAKINI KUMBUKA WEWE PIA NI MPASHAJI HABARI. LAZIMA UONYESHE NEUTRALITY KATIKA UTOAJI WA HABARI, SIYO KUZIBIA POSTS ZINAZOTOFAUTIANA NA UPANDE WAKO!

    ReplyDelete
  28. NDUGU ZANGU WANA DMV NAPENDA KUWAOMBA MTAMBUE KUWA WAKATOLIKI HATUHUSIKI NA HIYO BARUA. KIONGOZI WETU NI PADRI, SIYO MCHUNGAJI.

    ReplyDelete
  29. NYINYI WACHUNGAJI ACHENI UNAFIKI. NYOTE MLIKUWA KANISA MOJA, MKAGOMBANA NA KILA MTU KUANZISHA KANISA LAKE. MBONA NINYI HAMKUFUATA UMOJA MNAOUZUNGUMZIA? MGEJALI UMOJA MGEKUWA NA KANISA MOJA KAMA WENZENU WAKATOLIKI.

    ReplyDelete
  30. Wewe Anonymous wa August 15, 2014 at 3:53 PM, unamaanisha WRONG+WRONG = RIGHT? Mwenzetu hiyo falsafa uliisoma shule gani?

    ReplyDelete
  31. NA MASHEKHE WAMUANDIKIE BARUA RAIS WETU WA TANZANIA MH; JAKAYA. MRISHO KIKWETE!!! DMV KWA MAJUNGU MWISHO!!! HADI WACHUNGAJI.? MAMA BALOZI NAONA NA YEYE ATAINGIA MTINI KAMA BALOZI MSTAAFU MAMA MAHJAR,!!

    ReplyDelete
  32. Watu mnaokejeli watumishi wa Mungu hamjui mtendalo! Mungu awasamehe. Ati mwasema kazi ya mchungaji ni kurudisha kondoo kundini. Hata kama wametawanyika kwa sababu ya kuvamiwa na mbwa mwitu (social injustice)? Wajibu wa kwanza wa mchungaji ni kuwafukuza mbwa mwitu kabla ya kufanya juhudi ya kuwakusanya tena kondoo wake. Nasema tena acheni kukejeli watumishi wa Mungu; waacheni wafanye kazi yao ya kuwafukuza mbwa mwitu ili kondoo wao wabaki salama.

    ReplyDelete
  33. Kama mbwa mwitu Ndio pet wake au wameleta Wao hao mbwa mwitu wanategemea nini si lazima kondoo watawanyike.

    ReplyDelete
  34. Look here, I am a Christian but this is way too off what these supposedly godly people ought to be doing. Stay out of politics!

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake