Vijana wa Tanzania wakiwa kwenye BBQ yao iliyobeba jina la "Tanzania Youth Networking BBQ" wakijumuika pamoja siku ya Jumamosi Aug 23, 2014 Hyattsville, Maryalnd nchini Marekani pamoja na mvua kubwa kunyesha vijana walijitokeza kwa wingi.
Tanzania Youth Networking wakijumuika pamoja yote ni katika kuwaunganisha vijana karibu na Jumuiya ya Watanzania DMV jamba kitu kama hichi hakikuwahi tokea miaka ya nyuma kwenye Jumiya yetu ongezi kwa waratibu wote waliofanikisha siku hii muhimu kwa vijana.
Vijana wa DMV wakijumuika pamoja kwenye Tanzania Youth Networking BBQ iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 23, 2014 Hyattsville, Maryland nchini Marekani.
Vijana wakiendelea na BBQ yao.
Picha zote na Aloyce Mbullu mwakilishi wa Vijimambo, Maryland.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi.
No comments:
Post a Comment