Advertisements

Sunday, August 31, 2014

TIMU YA MASSACHUSETTS YALIPIZA KISASI YAIFUNGA NEW YORK 7-0

NEW YORK YASEMA WAMEFUNGWA KWA SABABU WAMEWAPELEKA KWENYE UWANJA WENYE MBU
 Timu ya New York katika picha ya pamoja
 Timu ya Massachusetts katika picha ya pamoja.
 Mchezaji wa Massachusetts Jezi bluu akimlamba chenga mchezaji wa New York na kufunga goli la tano
 Kocha mchezaji wa New Salim Akida akipambana kufa na kupona katika mechi ya Massachusetts na New York iliyochezwa leo Jumampili Aug 31, 2014 na Massachusetts kulipia kisasi na kuafunga New York 7-0 idadi ya magoli waliyofungwa na timu hiyo ya New York walipokwenda New York mapema mwaka 
Mpambano mkali ukiendelea.



9 comments:

Anonymous said...

Goli zilikuwa 8 mtungi na hiyo bahati yao zilikuwa ziengezeke

Anonymous said...

nilijuwa hamtoweka comment zinginewe na kuzibania,najua nani hasa anabania hizi comment.
mbururaaaz tu nyinyi watu wa NY,Kazi yenu maneno mengi kama watoto wa kike na ubeya kibao kila kona. na hii basi izime

Anonymous said...

aibu kubwa na fedheha kwa NY,BORA MDUWARA NA RUSHA ROHO NDO IWE NGUZO YENU SASAAAAAAAA.

Anonymous said...

aibu kubwa na fedheha kwa NY,BORA MDUWARA NA RUSHA ROHO NDO IWE NGUZO YENU SASAAAAAAAA.

Anonymous said...

maskini samaki analiwa kila upande hata kichwa habakishwiiiii.

Anonymous said...

ebwaaana eeeh magoli 8 mtungi dooooo.mama yaku weeeeeeee. dooo.mganga kashindwa kazi wabiyeni watu wa dmv wakuleteeni mganga waliompeleka siku ya uchaguzi.

Anonymous said...

NY jezi mnayo nzuri na mmependeza lakini weupeeeee piiii ppiiiiii magoli 8 mtungi mlelambishwa kama watoto wadogo wa chekechea.......

weeupeeee pppppiiiii mtungi

Anonymous said...

kama hamtaki watu wawewe comment si mbaniye sehemu ya comment tu iwee hakuna ku weka comment.tunatuma comment zetu mnazipiga niche kwa u....nge wenu.mamayeeeee

Anonymous said...

kama hamtaki watu wawewe comment si mbaniye sehemu ya comment tu iwee hakuna ku weka comment.tunatuma comment zetu mnazipiga niche kwa u....nge wenu.mamayeeeee