Advertisements

Sunday, August 31, 2014

POLISI UJERUMANI WAMUOKOA DIAMOND KUTOKA KWA WASHABIKI WENYE HASIRA !

 Ukumbi ulivyokuo
Polisi wakimuokoa Diamond

UJERUMANI SI SHWARI KIMENUKA !!

POLISI UJERUMANI WAMUOKOA DIAMOND KUTOKA KWA WASHABIKI WENYE HASIRA ! KASHINDWA KUWIKA STUTTGART KISA NA MKASA ?!

KAFIKA UKUMBINI SAA 10 ALFAJIRI ! WASHABIKI WANASURI SHOW TANGU SAA 4 USIKU

PROMOTA MNAIJERIA AINGIA MITINI ,DJ APATA KISAGO HETI VYOMBO VIBOVU ! HAIBU

Stuttgart,Ujerumani,
Usiku wa Jumamosi ya Tarehe  30.Augost 2014, majira ya saa 10 alfajiri
Mwanamuziki nyota wa Bongo Flaver  Nasib Abdul aka Diamond Platnumz alijukuta katika hali ya hatari hadi kuokolewa na Polisi mjini Stuttgart,ujerumani,baada ya washabiki waliokuwa na hasira kuchoka kusubiri show,washabiki hao waliokuwa wamelipa ticket euro 25 kwa kiingilio walihadiwa kuwa show ingeanza saa 4.00 usiku,lakini walijukuta wakisubiri hadi majira ya saa10 usiku au alfajiri ndipo mwanamuziki Diamond alipoletwa jukwaani na promota wake raia wa Nigeria anajiita kamaBritts Event.
Hapo ndipo washabiki walipoona kuwa hawakutendewa haki walianza kurusha chupa na kutaka kumvamia mwanamuziki  Diamond na promota wake,
Kilichowakera zaidi washabiki ni pamoja na vyombo vibovu vilivyofungwa katika ukumbi huo kitu ambacho kiliwafanya washabiki kuvunja hadi vyombo vya muziki
ma-Djs walishambuliwa na wapo Hosptalini kwa sasa.moja wa Djs hao alipoteza Lap top yake ,mwanadada DJ  Flor alipatwa shock mstuko wa moyo na kukimbizwa hosptali, washabiki hao walimpa kipigo  DJ Drazee naye yupo hoi hospatal. Polisi nchini ujerumani wanamesema tukio hili la haibu alijawahi kutokea,kuwa msanii kuchelewa kufika jukwaani kwa ujerumani ni kitu cha hatari kwani washabiki wa ujerumani wanaheshimu sana muda wao.
mpaka sasa polisi wanamsaka mwandaaji wa onyesho hilo na wamesema kuwa
wanachunguza thamani ya hasara hiliyosababishwa na ghasia hizo na pia itamfungulia mashataka promoter huyo raia wa Nigeria,ambaye pia anachunguzwa kwa kusemekana anajihusisha na mtandao fulani wa biashara.

Magazeti ya Stuttgart; yameandika "Washabiki wa hasira nawe DIAMOND"  link:

7 comments:

Anonymous said...

Hii imekuwa ni tabia ya wanamziki wa Kiafrika. Sijui ni kwa sababu gani hasa!.
Siyo aibu kwa Diamond tu bali kwa Nchi yetu vilevile. Tubadilike jamani.

Anonymous said...

atakoma na bado chezea watanzania wa ujerumani wewe.wana roho kama hitler mwenyewe,pesa chungu baba.ukiwabia show saa Fulani uwepo si kunengua nengua,bahati yako wangekutoa p...buz ukikoma ujanja.

Anonymous said...

Waliofanya vurugu ni wa bongo au?

Anonymous said...

Sidhani kama ni kosa la Diamond, mara nyingi wanamziki baada ya kuzikwa pesa zao, wanataka kupanda jukwaani baada ya malipo. ukipanda ujalipwa uwepo wa stori nitakulipa ni mkubwa. kosa ni la yule aliempeleka huko. si mshabiki ila tuangalie na ukweli.

Anonymous said...

wamefanya vyema sana wacha wamtie adabu, he did the same thing alipokuja dallas- Texas. people they paid over 50 dollars kwa kujua anaanza show saa nne usiku instead akaja saa kumi na nusu who does that. Diamond badirika umaarufu wako unaondoka very soon. me personally i was so disaponted, hutakaa unione nikienda kwenye show zake mambo yenyewe kama ndio hayo.

Anonymous said...

Kazoea mambo yake ya mbagala/lumumba, Got to be a lesson learned

Anonymous said...

Ndugu zangu kitu cha kusikitisha hapa ni kwamba huyu ndugu yetu Diamond ana promota toka Nigeria, promota toka Nigeria, promota toka Nigeria. Ushauri wangu ni kwamba Diamond asiposhtuka na kuachana huyu promota, aanze tu kuokota makopo.