Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi akitangaza matokeo, siku ya jumamosi baada ya uhesabuji wa kura kukamilika
Mwenyekiti mteule Bw. Idd Sandal, akilisakata rumba na wafuasi wake baada ya kutangazwa anaongoza kwa kura nyingi zidi ya mpizani wake Bw. Libe Mwang'ombe
furaha ilioje mpaka jino la mwisho unaliona, kweli ilikuwa furaha",tusherheke tufurahi ushindi ni wetu" maneno ya aunt Ashura hayo katika picha
Mama Ubao, au aunt Helewa kwa raha zake akisherehekea ushindi uliomrudisha tena Bw. Idd Sandal katika kipindi cha miaka miwili mingine ijao kuwatumikia wana DMV
Kaka Tumaini kwa hisia kali akiondoka kwa miondoko mepesi akisubiri matokeo kwa hamu
Dada Salma akipata nyepesi nyepesi katika kusubiri matokeo
Chini na juu Bw. Idd Sandal akiwa amebeba tikiti maji lilinakshiwa "TIMU IDD" alilokabiziwa na farida catering baada ya kumshinda Bw. Libe Mwang'ombe.
" Lazima tushereheke ushindi ni wetu" maneno ya wana DMV hayo
Majanga Team Libe .unawaumiza ,maana walivyokuwa,wanatukana ,wamekuwa wapole.
ReplyDeletewamekuwa wadogoooooo, kura mgawe nyinyi,muhesabu nyinyi,sasa aliyechakachuwa nani. mbane wakala wao anajua ukweli.
ReplyDeleteWEZI WA KURA NYINYI TEAM IDDY. BURURAAZ
ReplyDeletehamna hata haya kura mmeziiba nyinyi kina iddy.
ReplyDelete