ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 6, 2014

UNGEKUWA WEWE NDANI YA GARI HII UNGEFANYAJE?

 Tembo akijikuna kwenye gari

2 comments:

Anonymous said...

Acheni kuweka picha za kubiganya (photoshop) hizi. Tembo hawezi kuruka kiunzi. Tembo hukanyaga chocho kilicho kwenye mapito yake. Hivyo si rahisi kuruka gari hiyo natumbo lake liegame katikati ya gari. Au eti kuliegeme na gari liwe limesimama kama inavyoonekana.

Anyway, lakini pengine ni chemsha bongo kwa wapiaji wa blog hii.

Nawasilisha.

Anonymous said...

duu ebwana eeh ingekuwa mimi nadhani ningesha kata roho yangu au kujiharishia si mchezoo.