Wednesday, August 13, 2014

WARATIBU WA REDD'S MISS KINONDONI 2014 WAONGEA NA WAANDISHI WA HABARI

Mratibu wa shindano la Redd's miss Kinondoni 2014 Innocent Melleck katikati akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar Es Salaam juu ya shindano la kanda ya kinondoni litakalofanyika katika ukumbi wa Escape One ijumaa kwa kiingilio cha 10,000 kwa viti vya kawaida na 30,000 kwa VIP huku burudani za Malaika Bend chini ya Chirstian bella na Young Suma na tayari tiketi zipo mtaani. Baadhi ya warembo wa shoto ni matroni wa kambi hiyo Husna Maulid na kulia ni Mkuu wa itifaki wa kamati ya Miss Tanzania Albert Makoye-Father Kidevu

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake