ANGALIA LIVE NEWS

Friday, August 15, 2014

WE ARE RISING THIS FUND TO PAY OUR LAWYER FOR TANZANIANS IN DMV JUSTICE DUE TO THE ELECTION FRAUD


Aliyekua mgombea wa Urais Ndg. Liberatus Mwang;ombe akipiga kura

On August 14, 2014 Tanzanians in DMV had a community election, which turned out to be unfair and unjust. The two presidential candidates, Liberatus Mwangombe and Idd Sandaly, happened to have total votes exceeding the voters.

FACTS ABOUT THE ELECTION ACCORDING TO ELECTION COMMITTEE

Registered voters 586
Absentee ballots 14
Registered voters who did not vote at all 150
Voters who came to the polling station were 430
Absentee ballots Liberatus 9 Idd Sandaly 5
Results from the polling station Mr. Sandaly had 231 Mr. Liberatus had 214.

The total number of voters who came out at the polling station was 430. When Idd and Liberatus’ votes were added they exceeded the number of voters who came out to vote (214+231= 445). There was discrepancy of 15 votes! This was the main reason Mr. Safari said the election is “FRAUD” and “VOID”.

Lets do some math

http://www.gofundme.com/d0njcg

40 comments:

Anonymous said...

Kazi kwelikweli, naona watu mna muda hasa , hivi naombeni niwaulize swali, hawa maraisi sijui na makamu etc wanalipwa??? Maana naona ni kama ndoto, yaani mie nilivyo busy na mabox yangu sijui watu wanapata wapi muda wa huu uchafu jamani khaaaa, watanzania wa DMV mnatia kichefuchefu na uchu wa madaraka

Mlay said...

Dealing na wasomi raha sana! �� kuddos Libe I'm super proud of you!

Anonymous said...

Lukas umeanza tena kuachia massage za matusi,na kukashifiana
Kuwa mstarabu kaka,wacha DEMOCRACY it take place.haki haipokonyeki inachelewa tu

Anonymous said...

Luka unaleta majungu na watu kugombana kwa kuachia massage za hovyo kama hiyo,wewe mbaya na mnafiki.humwezi libe anamsimamo.

Anonymous said...

huo ni uchu was madaraka. Rudini Bongo mgombee ubunge mwakani. Stop this crap please.

Anonymous said...

Judge Judy atakuuliza how much did you loose (akiwa na maana ya mshahara) sasa sijui utajibu $0 au hela mlizotumia kuwanunua watu mpaka watoka nje ya Tanzania kuja kuwapigia kura! Tulipowashtukia ikabidi mrudishe pesa zao!

Anonymous said...

Kaka Libaratus..habari kaka, basi haya yamalize haya. .yasikuchukulie muda na kuendelea kukuumiza, hayana tija haya..vumilia na uendelee kuitumikia jumuiya yako kwa njia nyingine tuu na kwa amani.Jaribu kulimaliza jambo hili kwa njia ya amani na uendelee na maisha yako ya kila siku..Nguvu hii ulionayo kama vipi ungeigeuzia kule nyumbani Tanzania. .rudi nyumbani Tanzania kama kweli una nia halisi ya kutetea watanzania..elekezeni nguvu panapo stahili.Jitahidi kupiga moyo konde kaka.

Anonymous said...

Please get a life. Kugombania uongozi for what? Are you people getting paid?

Anonymous said...

Hivi hamna kazi za kufanya mpk kuwaste your enegy kwa vitu vya kijinga, au hulikopa sehemu ukitegemea ukipita urudishe hela za watu sasa imekula kwako so una haha kuchafua watu, listen Libe asiekubali kushindwa si mshindaniiiiiii ni jinsi gani ulivyo na uchu wa madaraka,pole

Anonymous said...

Tanzania needs you Libe, you are young and educated, go back home and bring change where it is really needed. United we stand, divided we fall

Anonymous said...

Listen Libe, since umebehave kiuchu namna hii, next election(kama utagombea) tuna recruit mtu candidate mwingine against wewe na unapigwa chini vilele! You're very selfish, unajipenda na kuliko community yetu!

Anonymous said...

Hii ni nchi ya sheria, sasa hizo nyama zetu sijui BBQ mtaenda kuzilia kwenye apartment ya Rais wenu iddi sandaly?
Huko park uhamiaji na local police watakuwa wanawasubiri. Jamani Wazungu wanasema IF YOU THINK EDUCATION IS EXPENSIVE, TRY IGNORANCE .

Anonymous said...

ELECTION DMV 2014
Libe unajiharibia sana hata ukitaka kugombea tena. Nilikupigia kura ndugu yangu, lakini naona kama niliipoteza, and candidly, I'm disappoint with your rogue behavior! Kwanini uko desperate hivyo? Kama vile labda ulikuwa unaandaa platform/CV ya kugombea CHADEMA nyumbani? Politician aliepitia jandon lazima anajua kuwa kuna kushindwa pia! Hii inaonyesha wazi kuwa hukuwa na contingent plan, meaning that you were only planned to win and not the contrary.
Kabla hujaandaa T-Shirt za kavaa, mara tu ukishada urais, ulitakiwa ujiulize swali---[What If???]. Pili, badala ya kuandaa victory speech peke yake, unaandaa concession speech pia, just in case unexpected happened. I don't blame you because you either had bad advisors around you or you defied their advice.
Tatu, kamati ya uchaguzi WALIJITOLEA 4 FREE! They worked tireless around the clock to make sure everything went smooth. Remember layers of security we had to go thru b4 voting---impressive, wasn't it??? These dedicated individuals were well prepared and they deserve no less than credit! We can't trash that simply because we didn't get what we wanted!
Nne, Was there inconsistencies? Yes! Was it unprecedented? No! Actually, voting irregularities happen more often even in the countries that regarded to have high level of democracy in the world. Take USA, for-example Bush Vs Gore in 2000, ONLY about 11, 000 votes were to decided the election, in country with over 300M people! Without going into details(can be googled), Bush ended up being a president although everybody believe that Gore won that election.
BUT you know what happened and it was unprecedented? Gore put the country first!!! So, Mr. Libe, be Gore of 2000 and put Tanzanian community Kwanza, please???????

Anonymous said...

DJ Luke, acha comments zidondoke bila filtration. Alafu, hawa team Libe wanakata mti huku wameukalia. Mnamtukana Luke, at the same time, mnahitaji blog yake kupost mambo yenu. You're very lucky that Luke is a VERY nice guy!! Ningekuwa mimi, msinge post kitu!!!!

Anonymous said...

Good job libe usiwasijilize hawa less than one day umefikisha 1300-you are making history libe ziba masikio fanya uliyotumwa na wanainchi wako.mahakama itaamua nani anauchu wa madaraka.keep fighting.we love you libe

Anonymous said...

Kijana yuko very smart,keep doing libe sheria mahakama ndio njia pekee ya kupata amani na haki ya kweli duniani

This is America people haburuzwi mtu.we will,we can.
Stay tune more to come

Anonymous said...

Hao kina libe sio watu wa kuburuzwa au kupiga domo....ni watu wa ACTION na hawayumbishwi na comments zenu haziwanyimi usingizi.wenzeni wamefikisha 1300 only less 12 hours

Wonderful we are very impresse
Hii kweli ni change dmv hawajawahi kuona .I mean it

Anonymous said...

Go team libe.upuuzi huu tuliouwona need to be stopped

Tuko pamoja kaka kwa hali na mali kuhakikisha haki inapatikana.

HONGERENI KWA MAPESA NA MICHANGO WATU WAMECHANGA SO FAST.NDIO UZURI WA KUWA NA WASOMI NA VIONGOZI WENYE MSIMAMO KWA WATU WAKE HAYUMBISHWI LIBE WALA HAFATI MKUMBO.GOOD JOB

Anonymous said...

Hakuna comments za matusi kabisa wacheni majungu na kaka Luke, it's freedom of speech, fanyeni kazi mtengeneze madola wacheni malumbano ya kijinga, hivi mnalipwa pamoja na kupewa benefits? ? Khaaa

Anonymous said...

Cha kusikitisha ni kwamba hata wachungaji wanajihusisha na siasa. What a shame???? Shedeko, Mbata, Igogo,maturlu, malekela nyie wote hamna busara hata. Kumbuka mnatakiwa kuchunga kondoo na si kuwatapanya. Kuanzia leo nimeamini kanisa la kweli ni lile la kwanza ndugu zanguniiiii!!! Kama Katoliki na yale yaliyoundwa kwanye misingi Imara. Poleni mnaosali kwenye wachungaji hawa!!!!

Anonymous said...

Endeleeni tuu kumtia LIbe Ujinga!!

Anonymous said...

paper-less mbona mna-panic? mara judge judy mara judge mathis, hii kitu ipelekwe kwa John Roberts kabisaaa tuone huo ushabiki maandazi mtaupeleka wapi!!!!!

it is not about money, it is about kukomesha maovu. Libe nitaku-bip nikupe contact za probono mmoja former Harvard graduate

Unknown said...

Hey Brother Libe unaonekana una uchu mkubwa wa haya madaraka. Unafikia muda unajiaibisha. Kama mdau mmoja japo juu alovyosema "asiyekubali kushindwa sio mshindani." Just let it go Brother and go home. Nilifikiria wewe ni mstaarabu lakini ustaarabu wako is running out of gas inakuwa aibu vile. Sio kwamba nina support upande mwingine la hasha. Kwanza mimi sio mwana DMV and never will be. This is just a shame. Mnaleta aibu za kibongo ambazo hazina maana yoyote. Grow up people. God Bless America!

Anonymous said...

mie sielewi watu wanashangilia ushindi wakati wanaona kabisa DMV imeshagawanyika!

Anonymous said...

GO LIBE GOOOOOOOO LIBEEEEE. Mwenye uchu ni LIBE au SANDALS.
DJ usipendleeeeee weka

Anonymous said...

Kwetu Upareni hatusiti kumuuza ng'ombe ili tushinde kesi ya kuku. Maudhui yake ni kwamba "Haki Itendeke", siyo economic calculus!

Can you dig it, Sandaly's blind followers?

Anonymous said...

Solution ni kuanza mchakato wa kuandika katiba itakayoanzisha jumuiya mpya, DICOTA DMV Chapter, ambayo itasimamia kwa dhati maslahi ya wanaDMV wote bila kujali itikadi na imani zao. Kwa wapenda haki wenzangu, hakuna sababu ya kupoteza muda na ATC Metro ambayo tayari iko kwenye deathbed yake kutokana na kansa yake iliyoko kwenye advanced stage.

Kamati ya Uchaguzi wameihujumu ATC Metro kwa kushindwa kwao kusimamia kwa umakini mkubwa shughuli za uchaguzi. Najua hawakuwa na malipo yoyote kwa shughuli hiyo, lakini pia hakuna aliyewashurutisha kukubali jukumu hilo.

DJ Luke huna sababu ya kubagua maoni ya watu kaka ili mradi hayamtukani mtu. Umekuwa na tendency ya kutokuweka posts zinazokinzana na maoni ya upande wa Sandaly ambao tunajua wazi wewe uko upande wake!

Anonymous said...

GO LIBE GO ? GO LIBE GO ....

Anonymous said...

ni kweli blog yako hii dj luke na nikweli unahaki ya kuweka comment unazotaka lakini this is not fair at all nimesoma comment zote na nimeona umempendelea sana iddy, watu wana mbeza sana libe kumbuka hata yesu alipigwa na madongo mwisho wa siyu yeye yesu si ndo anacho cheo zaidi ya wote.

kuwa na busara dj luke hata kama wewe ni shabiki wa iddy.

mwaka huu mmempata msomi aiyetiririka na asiye kuogopeni na comment zenu na mambo yenu.

go libe nenda kashitaki washike adabu zao wasio na makaratasi tutaona hizo nyama zao chomakama watazile kule park, kitawaka mwaka huu.

chezea libe msomi.
na my man libe sometime ninavyosoma hizi comment zao naona bora uwachiye tu hawa watu mbururaaza na jumuiya yao wakikupa watakuletea balaaa na nuksi bure.

go ahead and look for your phd man achana na hawa magamba seriously labda kama ndo unataka kuwakomesha na fraud zao na kupendeleana kwao.

all the best man

look ikikukera hii comment wee itupe tu haina noma okay my man.

Anonymous said...

watu mnakazi.kijijini kwako wanalala na njaa mnabaki kuchangia uchaguzi.hizo 1300 si zingewezalipia watoto ada ya mwaka mzima.mmepata bahati ya kuja huku fanyeni kazi.misiba hamchangi mnachanga uchaguzi urudiwe.si bora hizo hela apelekewe yule kaka aliyekatika miguu na mkono.

Anonymous said...

231-15=216 (Idd), 214 (Libe) mshindi Idd.

Anonymous said...

Sandaly ana tamaa sana ya madaraka. Hata kamati haijathibitisha mshindi, tayari kishatoa speech ya shukrani. Mnataka kuwatuliza wananchi kwa vi BBQ vyenu? Tutakutana mahakamani!

Anonymous said...


Idd
231-15= 216
216+5 (absentee ballot)= 221 Idd

Libe
214+9 (bsentee ballot) = 223 Libe

Mshindi Libe kwa kura 2

Anonymous said...

231-9 = 222. Kwani kura za Wizi au zilizozidi ni 9 tu. Kazi Yao ni kudanganya JAMII Hivyo wanasema kura zilizozidi ni 15.. Hata Kama ukimpa zote LIBE Bado iddi ni mshindi... Hawa walikuwa vilaza wa hesabu kweli...

Anonymous said...

unaweza kuwa msomi lakin hujaelimika.Wasomi wenyewe ndio wanaochemka katika maisha japo sio wote.siasa mchezo mchafu utakuchafueni fanyeni kazi mko ugenini hata kama mnauraia msijiziuke.mdau kutoka mchamba wima!

Anonymous said...

Jiandaeni kurudisha hela, make your get NO where, REAL!! Labda wasilimishe wawe CHADEMA--Wise move!

Anonymous said...

udau kutoka mchamba wima umesama kweli wasomi wengi ndo wnaaonchemkakimaisha jao sio wote na kusoma unaweza ukasoma lakini hujaelimika.
nimeipenda sana comment yako hii.na ushauri wako safi sana sheikh.

Anonymous said...

KAMA VIPI TUINGIE MSITUNI!! TUSHACHOKA MAISHA HAYA!!

Anonymous said...

Ningemshauri Libe kuanzisha jumuiya nyingine mpya ya wana-DMV.Hii itatoa fursa mpya ya sisi sote(DMV) kutekeleza VISION mpya na siyo hiyo ya akina Sandali na maustaudhi wake.

Anonymous said...

unapendelea dj luke na ny ibra hamuziweki comment zetu mafisadi wakubwa nyinyi.mnazibani zikiwa za kumkashifu libe ndo mnaziweka