Advertisements

Monday, September 1, 2014

DUNSTAN CUTHBERT SHABANI AZIKWA DAR, BABA YAKE CELINA SABRINA MBWANA

Mchungaji wa kanisa la Anglicana Mwenge akitoa neno la Mungu
Jaqueline, binti wa marehemu Dunstan Cuthbert Shabani, mwanzilishi na msajili wa kwanza wa bodi ya uhasibu na ukaguzi, (NBAA), Dunstan Cuthbert Shabani, akisoma wasifu wa marehemu wakati wa kuuaga mwili wake, kwenye viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar es Salaam, Jumamosi Agosti 30, 2014. Marehemu Shabani alifariki akiwa na umri wa miaka 84 na alizikwa smuda mfupi baada ya shughuli ya kutoa heshima za mwisho kwenye makaburi ya Kinondoni
Waombolezaji wakisubiri kutoa heshima za mwisho mbele ya jeneza la marehemu
Waombolezaji wakisubiri kupewa utaratibu wa kuaga mwili wa marehemu
Mwenyekiti mtendaji wa IPP, Dkt. Reginald Mengi, ambayer aliwahi kuwa mwenyekiti wa bodi ya uhasibu na ukaguzi wa hesabu (NBAA), akitoa nasaha zake wakati wa shughuli ya kutoa heshima za mwisho mbele ya marehemu Dunstan Cuthbert Shabani
Mjane wa Marehemu
Mwakilishi kutoka taasisi ya manunuzi, ambayo marehemu aliwahi kuifanyia kazi, akitoa nasaha zake
Gari lililouchukua mwili wa marehemu likiwasili viwanja vya Leaders
Mkurugenzi wa NBAA, akitoa hotuba yake  Picha kwa hisani ya K-Vis

No comments: