EID
UL’HAJJ - NORTH CAROLINA
Wanajamii
wa North Carolina wanapenda kuwakaribisha nyote katika hafla ya Eid
itakayofanyika Jumamosi asubuhi 7am-10am ya October 4th. Ratiba ni
kama ifuatavyo.
~~~~~~~~
1) Kuondoka
millennium
hotel 7am
2800 Campus Walk Avenue, Durham NC
27705
Parkwood site: 5122 Revere Rd, Durham
NC 27713
3) Kuondoka
msikitiki kuelekea kwenye hafla ya Eid 9am
Kwa
ajili ya chai na Ibada.
9
Wickersham Dr, Durham, NC 27713
Kuanzia
9am mpaka
10am
10am
msafara unarudi kuelekea hotel kwa kushiriki convetion ya DICOTA.
Kwa taarifa
Zaidi wasiliana na:
Nassor
Basalama (415)316-5247 au Hajj Abdallah (919)672-6063
1 comment:
Tunawashukuru ndugu zetu kutufikiria.
Will be there maana i was so depressed kuona kuwa nintakosa sala ya Eid.
Inshallah tupo sote. Next time jamani mnaoandaa shughuli kubwa kama hii please ulizeni wahusika kujua sherehe muhimu za dini nyingine zinaangukia tarehe gani ili tuonyeshe heshma kidogo ni kama vile mkutano upangwe kwenye easter au Christmas sidhani kama ni sahihi. Lets consult each other on important issues kama hizi kupunguza mpasuko wa kidini. Najua wengi wangependa kuja lakini wameamua kutokuja ili kufanya ibada.
Post a Comment