Advertisements

Sunday, September 21, 2014

HARAMBEE YA MAREHEMU METHOD MENGI YAFANYIKA HOUSTON

Mchanganuo wa Harambee

Marehemu Method Mengi
Mke wa Marehemu katikati akiwa na majonzi







Vitu vilivyotolewa na Watanzania kwa ajili ya mnada



MC James Shemdoe





















































5 comments:

Anonymous said...

Poleni wafiwa. Ukiangalia hizi picha jamani ni majonzi sana kuona wanafamikia waliobaki wanavyosononeka kwanza kumpoteza ndugu yao na kufikiria michango ya pesa.; Ndugu zangu Watanzania hembu angalia wanao na mwenzako iko siku mmoja wenu ataondoka swali ni HOW WOULD YOU LIKE TO LEAVE YOUR LOVED ONES??? Jamani WESTADI tumeletewa huku Marekani. Its $300! Gives a peace of mind to your family... Tena huhitaji kwenda bongo you sign online na unatuma hela online na ndugu zako wanne bongo wanapata matibabu BURE.... Viongozi wa Jumuiya please anzeni Campaign ya kuhakikisha kuwa kila mtanzania ana life insurance kama ya hapa Marekani ni issue sababu ya makaratasi basi chukua hii ya WESTADI.....

Anonymous said...

It's time kwa watanzania kuwa na life insurance Jamani .achaneni na mambo ya ku finance magari.lipieni insurance life .future college funds za waneni.ushauri tu

Anonymous said...

insurance ndio muhimu,lakini ndugu kuwa na huzuni ni lazima kwasababu wamempoteza mtu wao muhimu hata kama angekua na insurance 7 wangehuzunika vilevile.kwahiyo msitangaze biashara zenu hapa tatizo linapotokea.naa kuchanga ni utaratibu na desturi ya watz hujalazimishwa.kwani hiyo insurance haiwezi toka on the spot. RIP mengi

Anonymous said...

Anon wa juu may need some education regarding life insurance. On the contrary yes it does come on the spot and he/she should not mislead people on this. The comment he/she made about kuchanga na desturi yetu should also be looked at in it's context. People's cultures sometimes cannot be stagnant and may have to change as time changes. Kuchangisha watu used to be appropriate in the old days when life insurance was not an option. People are using excuses in the name of culture for not being responsible for themselves and their family. Please that excuse is getting old in this day of age!

Anonymous said...

Kwanini mnasubiri msiba ndo mnasema insurance zenu.kama hamtaki kuchangia acha hujalazimishwa.sio wote wanauwezo huo wewe.kama if we need to change our culture we should also change our nationality.nina insurance ya kila kitu lakini sioni vibaya kuchangia kunapotokea tatizo kwa wengine ambao pengine hawa na uwezo.mbona ndoa mnachangia?subiri ya kukute ndo useme Nina insurance .....SUKKA.