Advertisements

Tuesday, September 16, 2014

JITIRIRISHE NA PICHA ZA FASHION SHOW YA SIKU YA 4TH VIJIMAMBO ANNIVERSARY

 Warembo wakipozi na kupata ukodak siku ya 4th vijimambo blog anniversary iliyofanyika siku ya Sept 13 Rockville. MD
 Pozi mbele ya ukodak na vazi la kiafrica
 Kila mmoja alikuwa na pozi lake kulingana na style ya kivazi alichotupia
 Habari ndiyo hii na utakubari tu kuwa warembo walipendeza ndani ya vivazi vyenye mishono tafauto tofauti, Kwa picha zaidi nenda soma zaidi.

Kwa picha zenye zaidi tembelea tovuti hii hapa chini.
http://www.tembaphoto.com/index.php?sphoto=1 

1 comment:

Anonymous said...

Hizi ndizo sura za watanzania wanavyo jivunia mali ya asili na unatamaduni wake. Homgera wapiga picha professional ambao wanajitahidi kuonyesha uzuri wa mavizi ya watanzania na watu wake. Tunawashukru mabalozi, mawaziri,timu ya Vijimambo na waliohudhuria mchakato huu.