Advertisements

Tuesday, September 23, 2014

KINANA AANZA ZIARA MKOANI TANGA


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Handeni ambaye pia ni Waziri wa Viwanda na Biashara Dk. Abdala Kigoda wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu ,Mkata wilaya ya Handeni mkoani Tanga.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia ngoma ya asili ya Kizigua
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwasalimia wakazi wa Mkata wilayani Handeni waliojitokeza kwenye mapokezi ya katibu Mkuu wa CCM na msafara wake.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi waliojitokeza kwa wingi kumpokea kwenye kata ya Mkata Handeni.



Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia mabomba ya maji yatakayotumika kusambaza maji katika maeneo ya Mkata.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupakua mabomba kutoka kwenye Lori .


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kumwaga zege kwenye ujenzi wa tanki la maji la Mkata litakalohudumia watu zaidi ya elfu kumi.
Mbunge wa Jimbo la Handeni Dk.Abdallah Kigoda akishiriki kushindilia zege wakati wa ujenzi wa msingi wa tanki la maji litakalo saidia watu zaidi ya elfu kumi .



No comments: