ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 8, 2014

NAPE AZUNGUMZIA WAJIBU WA MATAWI YA CCM YA NJE NCHI KWA VIONGOZI WA CCM UINGEREZA


 Katibu wa NEC itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na viongozi wa mashina ya CCM Uingereza  ambapo aliwaambia matawi ya CCM nje ya nchi yawe mawakala wa kuleta mabadiliko ndani ya chama pamoja na kuwaunganisha watanzania kujikomboa kiuchumi
 Baadhi ya viongozi wa mashina ya CCM Uingereza wakifuatilia mafunzo kutoka kwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye aliyekuwa akitoa somo juu ya Wajibu wa Matawi ya CCM nje ya Nchi.
 Viongozi wa mashina wakisikiliza kwa makini
 Viongozi wa mashina ya CCM nchini Uingereza wakiandika pointi muhimu.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa mashina ya CCM nchini Uingereza .
  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa mashina ya CCM London nchini Uingereza mara baada ya kutoa somo linalohusu Wajibu wa Matawi ya nje ya CCM katika ukumbi wa kituo cha mafunzo Barking,London ya mashariki.
Katibu wa NEC Itikadi na Unezi Nape Nnauye akijibu  maswali mbalimbali kutoka kwa mwandishi maarufu nchini Uingereza Ayoub Mzee mara baada ya kumaliza kutoa semina kwa viongozi wa mashina ya CCM nchini Uingereza.

3 comments:

Anonymous said...

Ndugu zangu, hii kazi ya kufungua matawi ya chama nje ya nchi ilikuwa ina maana zaidi kabla nchi haijapata uhuru. Sasa hivi kufanya hivyo kuna maana gani? Je Kila chama nchini Tanzania kifungue matawi yake nje ya nchi? CCM hii ni aibu. Mbona hatusikii vyama tawala vya nchi zingine vikileta hii aibu? Kama hii hali ikiendelea tutatoa taarifa kwa secretary of state wa kila state ili alifanyie uchunguzi.

Anonymous said...

Big joke what are all these branches for?

Anonymous said...

I agree with you guys, these branches should not be allowed at all, if they want to be members of political parties from Bongo etc, they should go back. There no benefits at all for such crap as in stupidity.