Advertisements

Monday, September 8, 2014

PICHA TANO: Zinazodaiwa kuonesha uhalisia wa ajali ya basi la Air Bus huko Gairo leo hii

Imetokea ajali ya Basi la Airbus lililokuwa likitokea Tabora kuja Dar ambalo limepata ajali maeneo ya Kiegeya wilayani Gairo.Basi lenyewe linavyoonekana baada ya majeruhi kuondolewa
Wasamaria wakijaribu kutoa msaada eneo la tukio. Picha hizi zimetumwa kwetu kwa hisani ya Mdau
Basi lenyewe linavyoonekana baada ya majeruhi kuondolewa
Hali ilivyokuwa...
Tunaomba radhi kwa picha hizi
.

wahanga wa ajali
Picha kwa hisani ya Mdimuz.

No comments: