Advertisements

Monday, September 1, 2014

PITA PITA YA VIJIMAMBO NORWALK CONNECTICUT KWENYE BIRTHDAY PARTY YA FARIDA MALLYA

Farida Mallya akitoa shukrani mbele ya ndugu na marafiki waliojitokeza kwenye sherehe yake ya siku ya kuzaliwa iliyofanyika nyumbani kwake. Farida alikuwa mwenye furaha kwa kuona marafiki waalikwa wameitika wito wa mwaliko wake na kufanikisha sherehe hiyo. Marafiki walikula, kunywa na kucheza music, Music uliokuwa unangurumishwa na ma Dj wenye bora kutoka New York na DC.
Farida na mchumba wake wakifungua music mbele ya marafiki kwenye sherehe hiyo
Farida akipata ukodak pamoja na familia yake dada yake na mume wake na watoto wa dada yake. Kwa Picha zaidi nenda soma zaidi.
Mmoja ya wageni waalikwa nyumbani kwa Farida, Picha hizi zimepigwa na www.Tembaphoto.com

2 comments:

Anonymous said...

On Behalf of my Fiance Ms Farida Mallya... And the Family, i wanna thank and appreciate with Gratitude,Dj Luke and Vijimambo Cruel for make it happen,and everyone who was there, we had bless and great time,it was one of the Moment will be never ever Be Forgotten,especial for me myself (Issah) and my Fiance Ms Farida Mallya... Thank You again, and Much Love To You All"!

Anonymous said...

I witness the birthday Party but this one hereee!! is the Best Birthday Party Ever... Sis Farida Your the Best Sis!!!