Advertisements

Tuesday, September 23, 2014

SWAHILI FESTIVAL YAFANA

Mmoja wa waratibu wa Swahili Festial Patrick Kajale akiongea jambo siku ya Jumapili Sept 21, 2014 kwenye Swahili Festiava Picnic iliyowajumuisha wadau wa Afrika Mashariki
Wadau waliohudhuria Swahili Festival wakibadilishana mawili matatu kati ni makamu wa Rais DMV Bi. Harriet Shangarai na DKM kulia.
Mmoja wa walimbwende wa mitindo akipata picha kabla ya kupanda jukwaani kuonyesha mitindo mbalimbali kutoka kwa wabunifu waliobobea kwenye fani hiyo akiwemo Missy T wa Kwetu fashions.
Makamu wa Rais Harriet Shangalai akipata picha na wanae.
Walimbwende wakiwa katika pozi.
wadau mbalimbali waliojitokeza wakipata picha ya kumbukumbu,
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: