Advertisements

Tuesday, September 23, 2014

TANGAZO LA ZOEZI LA PASIPOTI KATIKA MIJI YA WICHITA NA KANSAS CITY.

5 comments:

Anonymous said...

Sasa kama hao watoto(ambao tayari ni raia wa Marekani)wanaruhisiwa kupata Pasipoti za Tanzania ni sawa kwamba watakuwa na pasipoti mbili, au uraia pacha. Sasa kwa nini huko nyumbani sula hili linaigwa chenga? Kuna tatizo gani ikiwa wazazp wao pia watapata pasipoti au uraia wa nchi zote mbili. Mbona mnatuchangaya!

Anonymous said...

sasa hao watoto watakua raia pacha, wakipewa pasipoti za tanzania, ?

Anonymous said...

Mi naona badala ya ku subiri viongozi wa jumuiya watoe tangazo la sehemu itakayo fanyikia tangazo liwekwe humu vijimambo wengi wanapitia hii blog.asante vijimambo kwa blog yako.inasaidia sana

Anonymous said...

My children were born in the US . UNTIL the age of 18 they had duo citizenship both US and TANZANIA. I HOPE YOUR QUESTION WAS ANSWERED.

Anonymous said...

So from what you are saying, dual citizenship is only available to minors (18 and under), they can't even vote, what is the point (travel?, that's what visas are for)-- After that they will have to give up one citizenship. Why bother in the first place for a child to get a Tanzania passport then have it taken away when the child is an adult, at a point where he/she would need it the most?

From the poster who had minor kids with dual citizenship: How did this benefit you and your kids, other than save a few dollars on visas?