Keki ya siku ya kuzaliwa ya Farida ikiwaka mishumaa tayari kwa kuzimwa, Farida alifurahia siku hii ya kuzaliwa kwa kujumuika pamoja na ndugu na marafiki kutoka New York State, Connecticut, New Jersey na DC. Licha ya birthday pia kulikuwa na surprise ya kuvalishwa pete na mchumba wake bwana Issah.
Farida akizima mishumaa juu ya kake.
Bwana Issah akipiga goti mbele ya Farida mkononi akiwa ameshika pete.
Bwana Issah akimvalisha pete mchumba wake Farida mbele ya ndugu na marafiki waliohudhuria kwenye birthday party hiyo.
Hapa Issah na Farida wakikumbatiana kwa upendo.
Farida akipongezwa na marafi huku sura yake ikionekana yenye furaha, kwa picha zaidi nenda soma zaidi.
1 comment:
Asante sana Farida. Picha sinasema ukweli jinsi watanzania wanafurahi kuwa pamoja na watu wote. Kwa kimila chenu: mbuzi, ngombe na mbege inatosha. Tunanwatakienei maisha mazuri na marefu.
Post a Comment