Advertisements

Friday, October 3, 2014

BIRTHDAY PARTY YA DIAMOND PLATNUMZ ILIYOFANYIKA GOLDEN JUBILEE

Diomond Platnumz akiingia na Wema kwenye Red Carpet Golden Jubilee kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa Oct 2, 2014.
Wema Sepetu akimpeti peti Diamond wakiwa ndani ya mjengo wa Golden Jubilee kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Diaomond Platnumz
Ni kula bata mpaka kuku wanaona wivu Diamond na baby wake Wema wakisherehekea siku ya kuzaliwa ya msanii huyo.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

1 comment:

Anonymous said...

asimpeti peti na jamaa kawaka kwa kununuliwa gari na kandinda.cheza diamond wewe.