Advertisements

Monday, October 13, 2014

DESIGNER LINDA BEZUIDENHOUT's SPECIAL APPEARANCE AT AFRICAN LEADERSHIP MAGAZINE AWARDS CEREMONY


Mbunifu wa mitindo Mtanzania anaekimbiza nchini Marekani Linda Bezuidenhout akiingia na kwa mbwembwe na mlimbwende wake wa mitindo usiku wa Ijumaa Oct 10, 2014 kwenye usiku wa tuzo wa sherehe ya African Leadership Magazine uliofanyika Atlanta , Georgia nchini Marekani.
 
Mlimbwende wa mitindo akipita kwa madaha kuonyesha vazi lililobunia na mbunifu wa mitindo Mtanzania anayeishi jimbo la Georgia Linda Bezuidenhout ndani ya usiku wa tuzo wa sherehe ya African Leadership Magazine uliofanyika siku ya Ijumaa Oct 10, 2014 na LB kupata nafasi ya kuonyesha ubunifu wa mavazi yake.
Mlimbwende wa mitindo akipita kwa makidai mbele ya mashabiki wa mitindo.
Ulikua usiku wa LB ndani ya usiku wa tuzo wa sherehe ya African Leadership Magazine
kwa picha zaidi bofya soma zaidi








1 comment:

Anonymous said...

Huyu dada jamani nampenda sana, hasa miguu yake